Maamuzi ya Serikali juu ya MGOMO WA MADAKTARI

Status
Not open for further replies.
wamesema watachukua madaktari wote wa MIFUGO na wale jeshi ili kuziba pengo
 
Mie naikubali sana serikali yangu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania. Hilo suala la mgomo si tatizo kwao kwa sababu sio wagonjwa. Tutaagiza madaktari wengi tu ninyi kaeni mkao wa kutubiwa mpaka Yale magonjwa sugu
 
Madakitari wazungumze na serikali kuhusu mambo yaliyo na maslah na kazi zao kazi kuunda serikali ni ya Rais.Katiba haijawapa madakitari haki ya kuweka mawaziri na kuwatoa. Vinginevyo' ikiwa madakitari wetu wameamua kutumiwa na wanasiasa wenye uchu wa madaraka, hiyo siyo' tutakufa siyo wagonjwa tu' Bali hata wazima. Madakitari mskubali kutumiwa kuimaliza Tanzania.

Mkuu,
Nikuweke sawa, walio na uchu wa madaraka ni hawa walioko madarakani.
 
Ulitaka serikali ifanye nini?. Kama madaktari wameamua kugoma waache wagome. Ni wapuuzi sana hawa madaktari kwani wanatumiwa na vyama vya siasa. Hawana uwezo wa kupanga baraza la mawaziri, wapuuzi kupita kiasi.
 
Umetumwa...
 
Hii ipo chini ya kiwango na inaonesha jinsi gani unamtindio wa akili. ili mtu kujua haki yake nilazima atumiwe na vyama vya siasa?Serikali inavyotelekeza huduma za afya inashawishiwa na chama cha siasa gani? ufisadi uliotamalaki ndani ya serilkali ni ushawishi wa chama gani? na wewe kuandika upuuzi huu umeshawishiwa na chama gani?Wewe ni mpuuzi wa kutupwa.
 
Jamani wengine tuko mbali hebu acheni malumbano tuambieni nini kinaendelea kwenye mgomo huu?
 
Ulitaka serikali ifanye nini?. Kama madaktari wameamua kugoma waache wagome. Ni wapuuzi sana hawa madaktari kwani wanatumiwa na vyama vya siasa. Hawana uwezo wa kupanga baraza la mawaziri, wapuuzi kupita kiasi.

unauhakika na maneno yako! Think twice before you comment
 
Ulitaka serikali ifanye nini?. Kama madaktari wameamua kugoma waache wagome. Ni wapuuzi sana hawa madaktari kwani wanatumiwa na vyama vya siasa. Hawana uwezo wa kupanga baraza la mawaziri, wapuuzi kupita kiasi.

Toa ushahidi wa madaktari kutumiwa na wanasiasa na sio kuropoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom