Maamuzi ya matumaini, imani na ujasiri ya Mhe. Rais juu ya nchi yetu Tanzania

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,842
1,147
"Nimeamua nchi iende na itaenda, anayedhani atanikwamisha atakwama yeye kwasababu hata Mungu yupo pamoja na Mimi,"---Rais Magufuli.

c24b590aa2e2bd19aebb0df4175ee959.jpg
 
Mhe Rais nasi watanzania tuko nawe tukikuombea na zaidi kukuunga mkono we ndio Rais wetu hatuna mwingine we tutangulie sisi ulipo tupo
 
"Nchi inaenda kama gari bovu haina sukani" Alhaj Ali Hassan Mwinyi AKA Mzee RUKHSA.
 
"Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania." Mh. Butiku.
 
Back
Top Bottom