Maamuzi ya Lukuvi mbele ya mawaziri 7 "msiwaondoe kwanza"

He is a leader not a ruler. Kwa sisi tusio na ushabiki wa kiimla, namkubali sana Lukuvi katika kundi hili la sasa. (i.e when I assess among themselves exclusively).

NB: Tunapingana na kukosoana pale tunapotofautiana kwa kuboresha sio kufarakana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mh. ndiye alituhumiwa mahakamani kws kumpiga roba yule mfanyabishara pale ofisini kwake ili amdhulumu $90,000 sio?
 
Back
Top Bottom