Maamuzi ya kikao cha wanaume: Namna ya kupambana na moto

IMG_7372.jpg
 
Kufuatia wanaume kushambuliwa kila kona na hatari, hasa hili suala la moto. Kikao cha mwisho ilikubalika mtaalamu atoe somo namna
Bila kusahau kuepuka ufadhili feki wa pombe ukitumiwa pesa na demu ulewa nenda kamhonge demu mwingine hamna kulewa.
 
Vifaa muhimu kuvimiliki kwa sasa ni fire extinguisher na Bulet Proof.
 
Kufuatia wanaume kushambuliwa kila kona na hatari, hasa hili suala la moto. Kikao cha mwisho ilikubalika mtaalamu atoe somo namna ya kujilinda na moto unapotokea.

1. Hatua ya kwanza ni kwenda low- kutambaa na tumbo au magoti ili kuepusha kuishiwa hewa ya oksijeni kwenye mfumo wa hewa.

2. Hatua ya pili ni kumiliki nyundo kubwa na sururu ili kuvunja mlango na ukuta.

3. Hatua ya Tatu ni Kuwa na blanket kubwa unaloweza kuliloweka na kujifunika.

4. Ila silaha kubwa kuliko yote ni kutokupanic ili ufanye upembuzi yakinifu kwa umakini zaidi.

Nawasilisha.

NB: mnaweza kuwasilisha mbinu zaidi.

😂😂😂nyudo ni muhimu sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom