Kumbuka kuna yule anaemkaza mama yako yuko hapo na ndio unamuita kishoia!
Mkuu mbona unadharirisha wazazi wako. Ndio waliokulea na kukufundisha ivyo kweli ama shuleni uliyosoma.
Unataka ukamsaidie. Afu suala la kukazwa mbona kawaida mkuu ama wewe huko huwa hawafanyiwi hayo.

Afu mie nilijua kuwa utakuwa ni mjanja Sana utakuja na tusi jipya mbona ya kawaida,hasahasa utaishia kutaja viungo vya sirini ambavyo niliwasikiaga watt waliolelewa na wazazi wao wazuri na wanawafundisha Mana walikuwa wakiwasikia wakiyaongea sebuleni wazazi wao na wao wakaiga wakafanana na wewe.

Mie maza alikuwa bize na ivyo ulivyosema.
 
maana wamama huwa wana majonzi sana - anaweza kuanza kulia na kushindwa kutamka neno lolote lile
Hasa akikumbuka kuwa mumewe alichomwa na bisi bisi na akaning'inizwa kama Popo,
Baadhi ya askari laana hii ya kizazi na kizazi haita waacha, Ref. IGP Onary Mahita yanamrudia Mwanae Mahita na aibuya kusema tangu aajiriwe hajawahi kukamata kwa kurejea taratibu za PGO;)
 
Mkuu mbona unadharirisha wazazi wako. Ndio waliokulea na kukufundisha ivyo kweli ama shuleni uliyosoma.
Unataka ukamsaidie. Afu suala la kukazwa mbona kawaida mkuu ama wewe huko huwa hawafanyiwi hayo.
Afu mie nilijua kuwa utakuwa ni mjanja Sana utakuja na tusi jipya mbona ya kawaida,hasahasa utaishia kutaja viungo vya sirini ambavyo niliwasikiaga watt waliolelewa na wazazi wao wazuri na wanawafundisha Mana walikuwa wakiwasikia wakiyaongea sebuleni wazazi wao na wao wakaiga wakafanana na wewe.
Mie maza alikuwa bize na ivyo ulivyosema.
Sasa kaa kwa kutulia kenge wewe! Usiniandikie aya ndefu kama unatafuta bwana sema!
 
Kwenye kifungu gani cha sheria?
Pamoja na awareness yooooteeee hii kuhus PGO bado unauliza swali rubbish kama hili au unadhani PGO ni kwa ajili ya kukandamizia ukiwa unaamwandikisha maelezo mtuhumiwa? Mungu tusaidie!!!
 
Muda sio mrefu mawakili wa jamhuli wataweka pingamizi hawana Imani na mh mtukufu jaji.
Mshua yupo poa Hana upendeleo haegemei upande wowote.MUNGU ambariki Mr jaji.
Kwa nje anaonekana anasimamia haki mkuu, lakini kumbuka kuna amri kutoka juu, anaweza kuja na hukumu ambayo pamoja na ushahidi usio na shaka, bado ikaja kivingine.
 
Tafadhali, mtiririko wa maswali na majibu kuanzia jana haujakaa vema.Kuna mahali jibu linakuwa juu alafu swali linaandikwa chini.

Hii ni tofauti na mtiririko wa siku za mwanzo.Nashauri mwandishi wa mwanzo ikiwa yupo mahakamani bado ndiye aendelee kuleta mtiririko hapa.
 
Muda sio mrefu mawakili wa jamhuli wataweka pingamizi hawana Imani na mh mtukufu jaji.
Mshua yupo poa Hana upendeleo haegemei upande wowote.MUNGU ambariki Mr jaji.
Na akitoa hukumu tuendelee kumsifia hivi hivi huo utakuwa ndio ubinaadam
 
Yaani hii ni aibu.. Mna vunja nyumba mwenyewe hayupo. Mnaiba vitu. Hamuachi taarifa. Hajaenda na mjumbe. Hili ndilo jeshi la polisi wanasema wako na weledi na intelijensia??? /Kweli??? Mh. Rais mbona haoni huu ujinga wa Siro na kikundi chake?? Mbona haoni kama wana wake wenzake wana nyanyasika kwa mambo ya kipuuzi?? /
 
Back
Top Bottom