Maamuzi ya kamati ya utendaji ya CUF - Taifa (kikao kimemalizika leo Zanzibar)

Mtatiro,

..achana na huo ugomvi wa Wapemba.

..utatumika tu hapo lakini mwisho watakutupa.

..jifunze yaliyotokea kwa James Mapalala.

..hivi huoni Mtanganyika mwenzako Nguyuru Lipumba alivyojiweka pembeni? hivi unafikiri yeye ni mjinga?

Mkuu umesahau Mzee Msobi Mageni
 
Hivi nazeeka vibaya au mwaka mpy umenijia vibaya? Hivi nimepoteza kumbukumbu au nina upofu wa kumbukumbu? Hivi akina Maalim Seif, Shabaan Mloo, Hamad Rashid Mohamed, nk walipofukizwa CCM na kisha kuanzisha KAMAHURU hawkuwa 14 kweli? Na sasa HR naye ana kundi la 14! Hii namba ina maana gani kwa hawa wenzetu wa visiwani? Natamani Sheikh Yahya ibn Hussein (Mwenyezi Mungu amrehemu) angekuwa hai atuambie kuna uhusiano gani hapa!
 
Hawa lazima watamsulubu tu HR! Yaani Mwenyekiti wa CC ni Maalim Seif na Katibu wake Maalim Mtatiro! Hawa wote si wameishatoa matamko juu ya HR na ndio wana bifu na HR, sasa haki itatok wapi? Katika hali ya Kiungwana hiki kikao kingekuwa chini ya Mwenyekiti na Katibu ambao hawana maslahi ya moja kwa moja katika suala ambalo lilikuwa likijadiliwa.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Chama Cha Wananchi (CUF) imefanya kikao chake cha kawaida cha siku mbili mjini Zanzibar tarehe 30 – 31 Desemba, 2011 chini ya Katibu Mkuu wa Chama, Maalim Seif Sharif Hamad.

Pamoja na kujadili ajenda kadhaa za kawaida kuhusiana na mambo ya utendaji katika Chama, Kamati ya Utendaji ya Taifa pia ilipata nafasi ya kupokea taarifa ya kina kuhusu hali ya kisiasa ndani ya Chama kutoka kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Chama kupitia Kamati yake Ndogo ya Nidhamu na Maadili. Taarifa hiyo ilijikita zaidi katika njama zinazoendeshwa na wanachama 14 wakiongozwa na Mheshimiwa Hamad Rashid Mohamed zenye mwelekeo wa kutaka kukivuruga Chama.

Kamati ya Utendaji ya Taifa imeridhika kwamba kuna hoja za msingi na ushahidi wa kutosha dhidi ya wanachama hao 14 unaoonesha kuhusika kwao na njama hizo. Wanachama hao ni:

1. Hamad Rashid Mohamed2. Doyo Hassan Doyo
3. Shoka Khamis Juma
4. Juma Said Saanani
5. Yasin Mrotwa
6. Mohamed Albadawi
7. Mohamed Masaga
8. Doni Waziri
9. Yusuf Mungiro
10. Nanjase
11. Ahmed Issa
12. Tamim Omar
13. Amir Kirungi
14. Ayubu Kimangale

Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, kifungu cha 63 kinachozungumzia Wajibu wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa, kifungu cha 63 (1) (d) kinafafanua wajibu huo kuwa ni “kulinda na kuendeleza heshima ya Chama na Serikali zote halali za nchi.” Kifungu cha 63 (1) (j) kinaelezea wajibu mwengine kuwa ni “kuwachukulia hatua za nidhamu viongozi na wanachama wanaoshutumiwa kwa makosa mbali mbali kwa kufuata masharti ya Katiba hii na kanuni zitakazotungwa mara kwa mara kwa mujibu wa katiba hii.”

Kwa kuzingatia hali hiyo, Kamati ya Utendaji ya Taifa imeridhika kwamba kuna haja ya kutumia uwezo iliopewa chini ya kifungu cha 62 (1) cha Katiba ya Chama kuitisha kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama ili kutafakari hali hiyo, kusikiliza tuhuma zinazowakabili wanachama hao, kuwapa nafasi ya kuwasiliza na kujitetea na kisha kuchukua hatua kama litakavyoona inafaa.

Kikao hicho cha Baraza kuu la Uongozi la Taifa kitafanyika Zanzibar, tarehe 04/01/2012 katika ukumbi wa hoteli ya Mazson.

Kamati ya Utendaji ya Taifa inawaomba wanachama na wapenzi wote wa CUF kuendelea kuwa watulivu katika kipindi hiki na kutoa nafasi kwa vikao vya Chama kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba ya Chama.

HAKI SAWA KWA WOTE
Imetolewa na;

JULIUS MTATIRO,
NAIBU KATIBU MKUU (TANZANIA BARA),
KATIBU WA KAMATI YA UTENDAJI TA TAIFA (CUF NATIONAL CENTRAL COMMITTEE).
31 Disemba 2011,
ZANZIBAR.
Mkuu Julius Mtatiro, kwanza asante kwa taarifa hii,
Wana jf wenzangu, nawaombeni sana tuwe more resiponsible kwa kuwaheshimu hawa viongozi wa vyama, wanaukuja humu kwa majina yao, hii ni heshima kubwa kwa jf, humu wapo viongozi wengi tuu akiwema Dr. W. Slaa, Zitto Kabwe, Nnauye Jnr, Edwin Mtei, Dr.Kigwangala, JJ.Mnyika, etc ambao wengine wamepunguza au kuacha kabisa kuja na kuprefer fb!.

Sasa huyu Julius Mtatiro anawapakulia taarifa za moto moto kutoka jikoni , badala ya kumshukuru na kuonyesha appreciation, wengine mnaleta dhihaka, this is not fair, hata kama hatukubaliani naye, tubishane kwa staha!.

Mtatiro, please don't be discoraged na baadhi yetu humu, just keep up hii information flow toka ndani ya CUF, tuka baadhi yetu tunao appreciate na wengi zaidi wanafaidika na taarifa hizi.

Thanks.

Pasco wa jf.
 
nimepitia majina yote nimecheka mbavu sina,hakika hiki chama kina wenyewe.Hivi huoni hata aibu kuorodhesha haya majima?
 
Bado naamini kwamba hili zengwe la maalim seif vs hamad rashid linakuzwa tu ili kukipamba chama cha cuf kwenye vyombo vya habari kwakuwa baada ya uchaguzi na kuungana na ccm kuunda SUK Zanzibar walipotea kwenye ramani.

''Watampa onyo kali'' na maisha yataendelea, ingawa mtatiro inabidi awe makini mno asije akafanyiwa kama mapalala!
 
Mkuu Julius Mtatiro, kwanza asante kwa taarifa hii,
Wana jf wenzangu, nawaombeni sana tuwe more resiponsible kwa kuwaheshimu hawa viongozi wa vyama, wanaukuja humu kwa majina yao, hii ni heshima kubwa kwa jf, humu wapo viongozi wengi tuu akiwema Dr. W. Slaa, Zitto Kabwe, Nnauye Jnr, Edwin Mtei, Dr.Kigwangala, JJ.Mnyika, etc ambao wengine wamepunguza au kuacha kabisa kuja na kuprefer fb!.

Sasa huyu Julius Mtatiro anawapakulia taarifa za moto moto kutoka jikoni , badala ya kumshukuru na kuonyesha appreciation, wengine mnaleta dhihaka, this is not fair, hata kama hatukubaliani naye, tubishane kwa staha!.

Mtatiro, please don't be discoraged na baadhi yetu humu, just keep up hii information flow toka ndani ya CUF, tuka baadhi yetu tunao appreciate na wengi zaidi wanafaidika na taarifa hizi.

Thanks.

Pasco wa jf.

mkuu Pasco,hiki ni chama au ni NGO ya wapemba?
 
Hamad anasubiriwa kwa hamu sana na vyama vingine. fanyeni hima mumtose na muisahau bara
 
Bado naamini kwamba hili zengwe la maalim seif vs hamad rashid linakuzwa tu ili kukipamba chama cha cuf kwenye vyombo vya habari kwakuwa baada ya uchaguzi na kuungana na ccm kuunda SUK Zanzibar walipotea kwenye ramani.

''Watampa onyo kali'' na maisha yataendelea, ingawa mtatiro inabidi awe makini mno asije akafanyiwa kama mapalala!

Interesting analysis..

Kwa hiyo kale ka-mgogoro wa Zitto na Mwenyekiti wake Mbowe was a stratergy to have media attention..

Naomba nikuulize mimi ni mwana CCM; lakini naona wanachadema wanapenda sana CUF ife daima kwanini??
 
Mh.Mtatiro siyo CUF NATIONAL CENTRAL COMMITTEE bali niCUF NATIONAL EXECUTIVE COMMITTEE ikiwa una maana kamati ya utendaji ya chama kitaifa.
 
Kaaeni chini mtafakari upya,ila big up sana Hamad Rashid japo umechelewa kuweka mambo hadharani mapema,umagamba b ndo uliowalostisha huko Igunga.Kiondoeni chama kwenye mfumo wa kisultani muuone kama hamta pave way
 
Interesting analysis..

Kwa hiyo kale ka-mgogoro wa Zitto na Mwenyekiti wake Mbowe was a stratergy to have media attention..

Naomba nikuulize mimi ni mwana CCM; lakini naona wanachadema wanapenda sana CUF ife daima kwanini??

CUF Iko kwa Maslahi ya watu wa Pemba so hata ikifa Kishindo chake Hakitasikika Tanganyika. IFE TU
 
Wadau mbona hiki chama kina watu wa dini moja? ebu cheki hii;
Wanachama hao ni:

1. Hamad Rashid Mohamed2. Doyo Hassan Doyo
3. Shoka Khamis Juma
4. Juma Said Saanani
5. Yasin Mrotwa
6. Mohamed Albadawi
7. Mohamed Masaga
8. Doni Waziri
9. Yusuf Mungiro
10. Nanjase
11. Ahmed Issa
12. Tamim Omar
13. Amir Kirungi
14. Ayubu Kimangale

CUF Iko kwa Maslahi ya watu wa Pemba so hata ikifa Kishindo chake Hakitasikika Tanganyika. IFE TU

Ili ibaki chadema peke yake au siyo? maana CUF wanawazibia nafasi yenu ya kuwa full time wapinzani ..

I love CCM
 
Wadau mbona hiki chama kina watu wa dini moja? ebu cheki hii;
Wanachama hao ni:

1. Hamad Rashid Mohamed2. Doyo Hassan Doyo
3. Shoka Khamis Juma
4. Juma Said Saanani
5. Yasin Mrotwa
6. Mohamed Albadawi
7. Mohamed Masaga
8. Doni Waziri
9. Yusuf Mungiro
10. Nanjase
11. Ahmed Issa
12. Tamim Omar
13. Amir Kirungi
14. Ayubu Kimangale

Umejuaje kama ni Dini moja? Wewe hujawahi sikia Askofu wa Anglikana anaitwa John Ramadhani?
 
Ili ibaki chadema peke yake au siyo? maana CUF wanawazibia nafasi yenu ya kuwa full time wapinzani ..

I love CCM

Afadhali CDM huwa wanazungumzia Masuala yanayohusu Watanganyika

I Love CCM too
 
Interesting analysis..

Kwa hiyo kale ka-mgogoro wa Zitto na Mwenyekiti wake Mbowe was a stratergy to have media attention..

Naomba nikuulize mimi ni mwana CCM; lakini naona wanachadema wanapenda sana CUF ife daima kwanini??

tunataka vyama vyote vyenye itikadi kali za kidini vife kwa maslahi ya Taifa
 
Hivi CUF Katibu Mkuu ndio anaongoza vikao? nini kazi ya mwenyekiti? na hata kama mwenyekiti hayupo hakuna makamu wake?
Kwa kukusaidia ni kwamba Katibu ndo mwenyekiti wa kamati tendaji ya chama hicho na vyama vingine vingi.
 
Wadau mbona hiki chama kina watu wa dini moja? ebu cheki hii;
Wanachama hao ni:

1. Hamad Rashid Mohamed2. Doyo Hassan Doyo
3. Shoka Khamis Juma
4. Juma Said Saanani
5. Yasin Mrotwa
6. Mohamed Albadawi
7. Mohamed Masaga
8. Doni Waziri
9. Yusuf Mungiro
10. Nanjase
11. Ahmed Issa
12. Tamim Omar
13. Amir Kirungi
14. Ayubu Kimangale

mkuu habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom