Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; unayaafiki?

  • Sahihi

    Votes: 404 86.0%
  • Kosa

    Votes: 59 12.6%
  • Sijui

    Votes: 7 1.5%

  • Total voters
    470
  • Poll closed .
Mods mngerudisha na majina ya wapiga kura maana kuna watetezi wa Zitto wanadai huenda kura zao hamzihesabu. Kuwakata kilimi, please rudisheni yale majina ya waliopiga kura kuunga mkono na waliopinga.
 
Nakumbuka mwaka 2010 kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika, humu JF kulikuwa na Poll ya nani anafaa kuwa rais wa nchii hii.
Dr.Slaa alishinda kwa kura nyingi sana.
Uchaguzi ulipofanyika matokeo yakawa tofauti kabisa.

Humu JF TISS na NEC wangeibaje kura? Simple. Haya kachukue buku 7 umejitahidi kuleta Uharo mwepesi.
 
Hivi hili nalo linahitaji poll? Wafukuzwe kabisa Zitto na wajinga wenzake ndio nitaona kamati kuu imefanya kazi.
 
Back
Top Bottom