Maamuzi ya Baraza la chuo kikuu UDOM ha hatma ya wanafunzi waliosimamishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maamuzi ya Baraza la chuo kikuu UDOM ha hatma ya wanafunzi waliosimamishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bibikuku, Jun 25, 2011.

 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yafuatayo ni maamuzi yaliyotolewa na baraza la chuo kikuu cha Dodoma UDOM kufuatia sakata la kusimamishwa kwa wanafunzi maelfu wa chuo hicho wiki chache zilizopita na hatma ya wanafunzi hao waliosimamishwa na wengine kufukuzwa. Fuata link hiyo ili uweze kusoma nakala halisi ya maamuzi hayo.Leaving Facebook... | Facebook
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Kwa nini usiweke hapa hiyo resolution? By the way link yako siyo salama inawezekana ina virusi
   
 3. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Iko salama sana tu ni uvivu wako tu wa kufungua na uoga wako.
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Inafunguka kwako tu huku kwetu haifunguki. By the way hilo tangazo nani kalipeleka huko facebook? Kama una taarifa ya maana copy and paste here. Ushasema yafuatayo ndiyo maamuzi.................... halafu unasema fuata hiyo link, wewe vipi? Facebook siyo reference.

  source please!
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
Loading...