Maamuzi magumu yaliyowahi kufanyika Tanzania........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maamuzi magumu yaliyowahi kufanyika Tanzania........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 3, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pinda amejinasibu kuwa serikali ya awamu ya 4 ndiyo imewahi kufanya,hasa kwa kudai kuwa kuanzishwa kwa UDOM na ujenz wa shule za kata,lakini mimi nasema maamuz magumu ambayo yamewahi kufanywa na serikali ya awamu ya kwanza bado hayajavunjwa rekodi zake,yapime haya maamuzi...
  1.UJENZI WA RELI YA TAZARA(AFRICA'S FREEDOM RAILWAY)
  2.AZIMIO LA ARUSHA LA MWAKA 1967,NA BAADAYE LILIZISHINDA SERIKALI ZILIZOFUATA
  3.KUANZISHWA KWA EDUCATION FOR SELF RELIANCE,
  4.UJENZ WA VIWANDA AMBAO ULIONEKANA,NA LEO VIWANDA HIVO VIMEKUFA,INGAWA SERIKALI ILE ILIKUWA NA WASOMI WACHACHE
  5.KUALIKWA KWA WATAALAM KUJA KUFUNDISHA KWENYE VYUO VIKUU VYA TANGANYIKA,MFANO UDSM KATIKA IDARA YA HISTORIA

  mwenye maamuzi mzgumu mengine ruksa kuyaleta hapa
   
Loading...