Maambukizi ya VVU Jiji la Tanga yanatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maambukizi ya VVU Jiji la Tanga yanatisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Dec 6, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  5th December 2011


  Kiwango cha maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Jiji la Tanga kimeongezeka kwa asilimia 8.7 zaidi ya kile cha kitaifa cha asilimia 5.7.
  Kiwango hicho ambacho kimeelezwa kuwa kimekuwa kikipungua kwa kasi ndogo sana, kimezidi hata kile cha mkoa ambacho ni asilimia 4.8.
  Akihutubia katika kilele cha Siku ya Ukimwi Duniani na ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika kwa Mkoa wa Tanga, Mkuu wa Mkoa, Chiku Gallawa, alisema takwimu hizo ni zile za watu waliojitokeza kupima afya mwaka jana.
  Gallawa alisema hali bado inatisha hasa kwa kuzingatia kuwa Ukimwi umekuwa ukiathiri zaidi kundi kubwa la vijana ambao ndio nguvu kazi

  inayotegemewa katika kukuza uchumi wa taifa.
  Alisema iwapo jamii haitakubali kubadili tabia zinazochochea maambukizi ya VVU na Ukimwi ni wazi kuwa idadi kubwa ya watu itaendelea kuathirika.

  “Serikali kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ya kimataifa imeendelea na jitihada za kupambana na janga hili lakini jamii ambayo ndio mhusika mkubwa inapaswa kutambua juhudi hizi na kuziunga mkono kwa vitendo ili hatimaye tufikie malengo yaliyokusudiwa kwamba
  Tanzania bila Ukimwi inawezekana,” alisisitiza Gallawa.

  Mratibu wa Ukimwi wa Halmashauri hiyo, Moses Kisibo, alisema tafiti za kisayansi bado zinathibitisha kuwa maambukizi ya VVU na Ukimwi kwa kiwango kikubwa hutokana na ngono zembe.
  Kisibo alisema miongoni mwa sababu zinazochangia kuendelea kwa kasi ya maambukizi ya virusi hivyo ni kuendeleza mila na desturi zinazopotosha maadili ya kijamii na kutozingatiwa elimu ya makuzi ya vijana.  CHANZO: NIPASHE


   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo la wanawake wa kitanga, hawajui kusema HAPANA.
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hapo cha msingi watu wapunguze kupigana pumbu kwani sio mpango wala nini!! Yaani watu wanamangana kila saa utadhani mambuzi...
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  ipitishwe sheria Guest ziulize cheti cha ndoa watu wawili waendapo kuchukua chumba!
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Hatuzikatai sana data hizi, lakini kwa watafiti watauliza vitu vingi tu kabla ya kutoa conclusion kama hiyo ya 8.7% prevalence!!! Study design, sample size, analysis etc. Anyway, tusizidharau data hizo, after all you dont lose anything ukiziamini!!! ni kujizuia kufanya ngono zembe au ku-abstain completely. Lakini sex ni "chakula"!!!! what do you do njaa ikiuma, unakula hata sumu, hapana!!!!!
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Kabila lipi sasa, wote jamani au wadigo, wasambaa, wabondei? wakikujua hutapata mlo wa usiku toka kwao.
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mimi nimeishi eneo la Halmashauri ya Jiji la Tanga. Nafikiri hayo makabila yote uliyoyataja yapo plus waarabu!! Wote naona sawa tu, kukataa mwiko, mwanaume anaonekana mfalme!
   
 8. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  toba yarab
   
 9. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Aisee watu ni lazima wabadili Tabia
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wagosi wa kaya wanatafuna ile kitu kavukavu! wagosi bana!
   
 11. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Sasa watu wanakaa tu vibarazani toka saubuhi hadi kuchwee huku wakinywa kahawa ,tangawizi ,pweza na mchuzi wake(siku hizi mchuzi wa pweza huwekwa kwenye thermos)mnategemea nini kiendelee,Tanga ya sasa sio ile ya kina mzee Somaia viwanda lukuki na ajira kibao hebu pita kule kulikokuwa eneo la viwanda ni magofu matupu na hata majengo kama ya Bandari na Nasako yamekuwa majengo ya makumbusho,nafikiri sasa hao wagosi wa wakaya waanze kushika jembe hapo ndio watakuwa busy kiasi cha kusahau kuvunja amri ya sita
   
 12. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hamjaona yaliyompata yule mmasai! Angalia picha yake kwenye jeneza hapo globalpublisherz, ndo mtajua ngoma ni noma
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa na wanapenda kavu vile vile..yaani ukiwa na kondomu wanshangaa huyu katoka api atiiii...piga kavu weyeeee
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo silaha uliyoitaja ni ya kikemia au baiolojia?
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri sana.
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Jana kwenye mazishi ya Ebbo pale moshono ktk boma ya mzee Motika kuna mwanandugu alisikika akisema Tanga inaisha yoote kwa tatizo hili.
   
 17. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  si nchi hii,
   
 18. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mkuu wa chuo mind your words please!!!
   
 19. T

  Teru Member

  #19
  Nov 11, 2013
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kawaida kwa mwanamke jijini tanga kukusalimia na kuanza nastori kuwa kwa sasa mume aliya naya ni wa ...tatu...na,,,. Waganga wako bizii kuwathibitishia wanazo dawa za kuvuta wanawake na wanaume..matangazo yao ni mengi kuliko tahadhari ya hiv ooh. Wageni wamekuta ulimbo na umewanasa hii ndiyo tabu na majibu ya kuenea ukimwi.
   
 20. muhomakilo jr

  muhomakilo jr JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2013
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 10,130
  Likes Received: 3,233
  Trophy Points: 280
  Wacha utani bana.
   
Loading...