Maambukizi ya Corona yafikia 6,190 baada ya wagonjwa wapya 120 kutangazwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kenya imetangaza wagonjwa wapya 120 baada ya kupima sampuli 2,221 ndani ya saa 24 zilizopita na jumla ya walio na maambukizi ya COVID19 imefikia 6,190

Kati ya wagonjwa waliotangazwa leo, 115 ni Wakenya na 5 ni wageni; 84 ni Wanaume na 36 ni Wanawake. Mgonjwa mdogo zaidi na miaka 6 huku mkubwa akiwa na miaka 83

Wametokea Nairobi-67, Mombasa-17, Kajiado-9, Machakos-9, Kiambu-8, Uasin Gishu-4, Nakuru-2, Kilifi-2 na Narok-2

Vifo vimefikia 144 baada ya mgonjwa mmoja kufariki na waliopona wamefikia 2,013 baada ya wengine 42 kuruhusiwa

===

Health CAS Rashid Aman has announced 120 new cases of COVID-19 in Kenya bringing the total to 6,190.

The patients are from a sample size of 2,221 that was tested in the last 24 hours.

“The bulk is still Nairobi and Mombasa and Busia is third due to the border points. It’s only a matter of time before all counties report cases,” he said on Monday.

According to Dr. Aman, 115 of the new positive cases are Kenyans while five are foreigners.

Nairobi has 67 cases, Mombasa 17, Kajiado 9, Machakos 9, Kiambu 8, Uasin Gishu 6, Nakuru 2 and Narok 2.

They are 84 males and 36 females.

One more person succumbed to COVID-19 in Kenya raising the death toll to 144.

“This was a 64 year old patient from Mombasa who was diabetic,” Dr. Aman said.

The Health CAS also noted that 42 people have been discharged; total recoveries now stands at 2,013.
 
Back
Top Bottom