Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

Jamani mimi ninahitaji kwenda PCM ??
Je Nini kinahitajika ili niweze kufanya vizuri??? Na piaa kombi hii inaugumu kwenye somo gani???
Mtu akiweka bidii atatoka nayoo
Kwa muda huu ulio baki kama ujaanza tuition tafuta angalau usukume Ata topic moja ya physics japo uwezii kumaliza mana kama Utaenda shule za serikal nyingi hazina walimu wa physics
 
Broo niliosema mm n ukwel, sema wahandisi mnajiona xana wala hamtak kpokea mapungufu yenu. Hivi ww unaweza kpokea tender ya serikali kweli. Unao huo mtaji. Maana unatakiwa ujenge jengo likishainuka ndo serikali itoe hella. Hapa UDSM vihandisi vinajishaua akat vikihitim shda tu kwanza utaalam zero
Hahaa Brother unatudhalilisha wana CoET kimsingi ni ngumu kupata Engineer Masikini na ndio maana namshauri dogo apige Izo but anyway Wachina wanakuja kama Contractors sisi wabongo tunakuwa ma engineer
 
kijana wangu PCM haihitaji ujuzi wa maandishi kama watu wanavyokuambia ...kikubwa uwe unajua Physics na Maths haswaa cuz izo ni core subject ile uweze kufika kwenye kozi nzito za ki PCM kama Engineering....Actuarial science na Mengine...Kimsingi kwa PCM Physics ni utataaa mtupu kaza sanaa phz na maths cuz kama una apply chuo kwa mtu wa PCM watahitaj 2 Principle Passes za Maths and Physics japo piaa chem uisome vizur ili utengeneze Div nzurii...Fanya maswal Meng mara kwa Mara....Fanya fitnes test nyingi...Pata Muda wa Kupumzisha Akili yako...then Finally Muombe sana Mungu akuweke kwenye Lengo Lako....Karibu Sana...!!
PCM is very wide Combination ina Faculty nyingi ambazo unaeza somea Chuo....but hasaa hasaa Engineering ndio deal kwa PCM...!!!

Soma sana ufaulu vizuri Halafu Karibu Katika ulimwengu wa Wahandisi
Shukran Sanaa ..
 
Naombeni ushauri waungwana ndoto zangu kusoma CBG matokeo yangu ni kama yafuatavyo chem C,biology B, geography C, history C, civics C, kiswahili C, physics F, mathe F, but nimechagua hkl naweza kubadilisha combination???
 
CBJ itakuwa vigumu umefeli Maths na CBG kama sikosei kuna Maths kule inaitwa Basic applied Mathematics (BAM)
 
Naombeni ushauri waungwana ndoto zangu kusoma CBG matokeo yangu ni kama yafuatavyo chem C,biology B, geography C, history C, civics C, kiswahili C, physics F, mathe F, but nimechagua hkl naweza kubadilisha combination???

Kama sijakosea huwa inatakiwa isizidi point 9 kubadilisha combination ndani ya shule,yaani C tatu kwa masomo ya combi yako,possibility ya CBG iko sababu una point 8,hesabu utasoma huko huko sema utakaza msuli sana tu,PCB nadhani itakua ngumu maana una F ya Physics ambayo itakupa point 11 unakua umezidi 9,pia kama miaka minne umepata F inamaana miaka miwili F tena itakuhusu so nenda CBG. Mara nyingi maksi za A level huwa zinashuka grade moja ya o level au zinamaintain ukikaza sana unaweza zipandisha sasa hapo ukiingia na CBG inamaana utatoka na CCC au DDD ila kwa PCB una FCC kuipandisha hiyo F na kwa Alevel mmmh mlima mkubwa sana ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom