Maalum kwako Rais Samia, Makamu Dkt. Mpango na Waziri Mkuu Majaliwa kwa kilichotokea usiku katika Kitovu cha Biashara Dar es Salaam

Huna ukijuacho na ukiona GENTAMYCINE nimekuja na Taarifa Muhimu na Nyeti kama hii tafadhali kaa nayo mbali sawa?

Kama ulikuwemo katika ile iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo sasa anza Kufanya Mazoezi ya Kunya katika Kisoda na Kuogelea katika Lami yamoto huku Pumbu zako zikifungwa na Mpira kisha zikirushiwa Golori ndogo za Chuma au Tunda za Ndulele.

Mtatajana Wote Wahujumu wakubwa nyie ambao mmejipanga na Kusababisha Tukio hili baya ili mumkomoe Mheshimiwa Rais Samia na Serikali yake kwa Maslahi yenu ya Kifisadi.
Why wateswe? Dhama hizi uchunguzi hufanyika kwa technologia siyo mateso na mauaji kama utawala wa mwendazake
 
Kama GENTAMYCINE nasomwa 24/7 na Rais Samia na Watu wa Ikulu na ile Idara yake Muhimu ( Maalum ) ya Makao Makuu Oysterbay mkabala na St. Peters Church ndiyo hawa sijui DSO na RSO wako hawanisomi?

Nimeshawarahisishia Kazi yao hapo Ok?
Wewe bwana mdogo ni mwehu wa Jamii forum
 
yaani unamawazo ya hovyo kwelikweli. unaona raha sana watu kupigwa sio? una akili za kimarehemu kwelikweli.
 
Mama jaribu kuwa mndava kidogo kama yule jamaa, hawa pumbavu ukijifanya kutumia diplomasia na sheria watakuhenyesha mpaka uone kazi ya Urais haifai..

Taifa la Tanzania na watu wanahitaji undava kuwaongoza sio kubembelezana na kudekezana. Ni vipigo tu kila kona ndio wanaelewa hawa.

Mama vyombo vyote vya usalama ni mali yako na viko kupata amri....usionee huruma hawa viumbe wanaoitwa Watanzania...toa amri za watu wapumbavu kupigwa mijeledi na wengine waende magerezani huku tukinyonga wengine.
😎😎😎
 
Mkuu usiponiamini utamuamini nani?
Ha ha ha bro una masifa. Unajua kwa uzi huu unaweza kuwatia watu matatizoni?
Kama ni kweli sawa ila kama si kweli kuna watu wataumia pasipo kosa lolote. Mungu atusaidie tuujue ukweli wa hili pasipo watu kuonewa.
 
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
Huko muungue tuu maana wakati tunaunguliwa masoko yetu mikoani mlikuwa mnatucheka mara mseme mapaka sasa ngoja muisome namba ya moto pimbi nyie
 
Ha ha ha bro una masifa. Unajua kwa uzi huu unaweza kuwatia watu matatizoni?
Kama ni kweli sawa ila kama si kweli kuna watu wataumia pasipo kosa lolote. Mungu atusaidie tuujue ukweli wa hili pasipo watu kuonewa.
Wanao ( Wajomba ) zangu hawajambo na Shemeji yangu hapo ( huko ) Bunju?
 
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
Mambo ya kutafuta mchawi baada ya tukio hayasaidii.
Soko la Kariokaoo lilikuwa bOMU linalosubiri kulipuka siku nyingi sana.

Watu wanafanya biashara zote, na kila kitu, na pengine hata mbolea zinazolipuka na huku watu wanapika chips.
WHAT DO YOU EXPECT?

Tujikite katika mbinu sahihi za kuendesha miji kistaarabu.
Kukomoana kupo lakini katika hili mmmmmm........!
 
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
Nadhani waanze kukamata zimamoto wote walioenda pale. Mmoja wa mashuhuda anasema kwamba, Moto ulianza saa moja au mbili kasoro, gari ya kwanza ilikuja hata gia ya reverse ilikuwa inakataa, wakatoa fire horse motor hazipump maji.

Hii hujuma imeanzia fire.
 
Wakati hatua nyingine zinaendelea,ni hekima sasa kuwa na tahadhari za hatua za dharula kwa kuwekeza kwenye miundo mbinu na vifaa pia,sio sawa kupoteza au kuja kugharimikia asset iliyoshindwa kulindwa inayokupa faida zaidi ya miundombinu na vifaa vya kuilinda ambavyo ungeiwekea.Tuwe proactive mamlaka zote zinazohusika kwenye maeneo yote,si ni kweli kuna maeneo hayafikiki ikitokea dharula kwa namna palivyojengwa au jiografia yake ilivyo?Maeneo gani yako kwenye risk?Twaweza kupunguza ukubwa wa risk yakitokea?Kwa namna gani?Ni vitu vya msingi ambavyo wapo wataalamu wetu wanavijua,serekali yetu na mamlaka husika ninawatia moyo tuwe na hatua zaidi maana tunakoenda tutapaswa kuwa na ndege za kuzima moto na vifaa bora zaidi vya kukabiliana na matukio ya dharula.
 
Nasema hili ( haya ) kama Mzalendo na pia baada ya Kujiridhisha kutoka kwa Wahusika na Wadau eneo la Tukio ( Wafanyabiashara wakubwa ) na Wazoefu eneo hilo kwa Kilichotokea.

Kwa Taarifa za ndani kutokana na 'Umafia' ambazo GENTAMYCINE Mimi nimehakikishiwa na Mmoja wa Mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapo ni kwamba Tukio zima lilipangwa na Kuratibiwa vyema Kimkakati wa Kutingisha Serikali ya Rais Samia na kuikomoa Kiuchumi.

Tafadhali sana naomba Jeshi la Polisi na Mamlaka za Ulinzi na Usalama nchini Tanzania 'Kamateni' haraka wale Watu wote wa iliyokuwa Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo ilivunjwa kisha fanyeni nao Mahojiano ya 'Kiadhabu' na yenye 'Umedani' mwingi bila kuwaonea Huruma na Watatajana wote na kuupata Ukweli wote.

Hii siyo mara ya Kwanza kwa Bodi za haya Masoko makubwa nchini ( hasa Dar es Salaam na Mwanza ) ikitokea tu 'zikavunjwa' basi 'Visasi' vyao kwa Mamlaka husika za Manispaa au Wilaya au Mkoa huwa ni Kusababisha Ajali za Moto ili Kukomoa na Kusababisha Hasira na walio wengi.

Mwisho kabisa Mamlaka husika naomba Kamateni Walinzi wote wa Mgambo wanaolinda hapo ( hasa hasa Mkuu wao ) pamoja na Viongozi Wawili wa Soko hilo kwa sasa ili waeleze na hakikisheni Mahojiano yenu nao yawe ni ya 'Kiadhabu' zaidi na hakuna Kuwachekea kwani katika Mpango Mkakati huu wa 'Kimafia' ulioratibiwa na waliofukuzwa na baadhi waliobakia kwa Kushirikiana na Wateule kadhaa wa Rais Samia wamesababisha Tukio hilo zima kutokea na Kusababisha Hasara hiyo Kubwa.

Na kwa jinsi Tukio zima lilivyotokea ( kwa kuanzia ) katika kila Pembe ( Kona ) ya Jengo hilo la Kihistoria na Kitovu cha Biashara Dar es Salaam na Tanzania utagundua kuwa ni Mpango wa Makusudi wa Kulipiza Kisasi na nitawalaani na Kuwachukia mno Tanesco au Tume iliyoundwa ikija na Taarifa ( Ripoti ) kuwa ni Hitilafu ya Umeme ( Mfumo wa Umeme )

Mama ( Rais ) simama Imara tafadhali na nikiwa kama Mzalendo wa Kweli na niliyetukuka tayari nimeshakuambia Wewe, Makamu wako pamoja na Waziri Mkuu wako wapi kwa Kuanzia ili Kuwashikisha Adabu hao Wahuni na 'Mafia' wa Kukuhujumu na Kukuharibia katika huu Uongozi ( Utawala ) wako.
Mkuu

Hilo eneo lilikuwa maalumu kwa ajili usafirisji wa askari kwenda vitani enzi za ukoloni. Eneo lilipogeuzwa kuwa soko ni kwa mahitaji ya wakati huo baada ya uhuru na muungano.

Kwa sasa eneo hilo linahitaji baadhi ya maorofa yanayolizunguka kubomolewa, wamiliki wake walipwe fidia kisha soko lipanuliwe likiwa na miundo mbinu wezeshi kumudu shughuli za kiuchumi. Ukiwa na gari ukatembelea eneo hilo itakuchukua saa si chini ya mbili kunasuka kuondoka, kuna utitiri wa watu, magari, maguta, pikipiki na bidhaa kupangwa barabarani hata nyoka ilinakuwa vigumu kupenya kirahisi bila kuhisi atapigwa kichwa chake.

Moto umetokea orofa ya pili juu ambako ndiko kuna wafanyabiashara wakubwa wapo sio machuinga huku huko shimoni ni salama, tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom