Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

Basi naomba unitajie bei ya juu na bei ya chini zaidi ili nipate makadilio yake
Moshi to ubungo
 
Basi naomba unitajie bei ya juu na bei ya chini zaidi ili nipate makadilio yake
Moshi to ubungo
23-24moshi unapanda osaka..dar express..kilimanjaro..mabasi kibao tu...Arusha siku hizi medium class 25 unapanda bila tatizo.

So ukiwa na 30 unafika Dar vizuri ukiwa umekula kbs
 
watu wa morogoro new force kaanza ruti mpya dar moro
 

Attachments

  • IMG_20170310_111338_841.JPG
    IMG_20170310_111338_841.JPG
    22 KB · Views: 292
Mkuu Falcon,, ulishawahi kutonya kuwa TAHMEED wataanza safari za kanda ya ziwa,, vip hawajaanza?
 
Wanajenzi habari za mda huu

Naomba kuuliza ni gari ipi ambayo ukipanda kutoka dar to mwanza iko vizuri na ni luxury nataka nifanye safari huko j3 nikatembelee sehemu ya makumbusho kolomije
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom