PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,301
- 3,429
- Thread starter
- #1,321
Kuna updates ya Hifadhi za Taifa nitaiweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hutaji shingoni eneo lachini,pale kwann simba lazima ang'ate lile eneoMkuu kile ni kitendo tu cha mashambulizi
Mara nyingi simba wanapo winda wanyama wakubwa, wengine hurukia mgongoni na sehem za nyuma na kuanza kung'ata uti wa mgongo ili kudhoofisha prey
Wanyama wasumbufu kama nyati hutumia mkia kurusha kinyesi au mchanga machoni pa adui... Labda inaweza kuwa sababu ya simba kunyofoa huo mkia
Nishaelezea sana kuhusu simba... Nimejibu kuendana na swali lake.... Kila mtu anajua simba anatumia suffocation kwenye kuuaMbona hutaji shingoni eneo lachini,pale kwann simba lazima ang'ate lile eneo
Huyu Duma tumjumuishe kwenye timu ya Taifa ya kuogelea.
Huyo ni chuiHuyu Duma tumjumuishe kwenye timu ya Taifa ya kuogelea.
Tayari tumeelezea post zilizo tanguliaWadau hebu nisaidieni tofauti ya crocodile na alligator
AsanteNice thread...
#Tanzania #Unforgettable.