Maalum kwa ajili ya wanyama pori

Waaahh.. Yellow biled
A%2B%20Gallery_9.jpeg
 
Mkuu kazi nzuri...
ila mi swali langu ni kujua wanyama wanao hitaji kibali ili kuweza kuwafuga wajumbani pia na namna yakupata hivo vibali ...
 
Mkuu kazi nzuri...
ila mi swali langu ni kujua wanyama wanao hitaji kibali ili kuweza kuwafuga wajumbani pia na namna yakupata hivo vibali ...
Mkuu kama unahitaji kibali nenda wizara ya maliasili na utalii

Wanyama wengi unaweza kuwafuga, ni pesa zako tu
 
Kuna watu wana tabia za kwenye vijiwe vya kahawa eti mbwa mwitu haogopi kitu..angalia anavyotimua vumbi..
66064818_496388114452090_2817707008054997021_n.jpeg
 
Naomba kuuliza swali dogo mkuu Panthera, hivi ni kwanini Simba wanapomkamata Nyati ili kumuua na kumla, pamoja na mambo mengine hua wanang'ata ule mkia wake wakidhamiria kuunyofoa?
 
Naomba kuuliza swali dogo mkuu Panthera, hivi ni kwanini Simba wanapomkamata Nyati ili kumuua na kumla, pamoja na mambo mengine hua wanang'ata ule mkia wake wakidhamiria kuunyofoa?
Mkuu kile ni kitendo tu cha mashambulizi

Mara nyingi simba wanapo winda wanyama wakubwa, wengine hurukia mgongoni na sehem za nyuma na kuanza kung'ata uti wa mgongo ili kudhoofisha prey

Wanyama wasumbufu kama nyati hutumia mkia kurusha kinyesi au mchanga machoni pa adui... Labda inaweza kuwa sababu ya simba kunyofoa huo mkia
 
Back
Top Bottom