PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,431
- Thread starter
- #1,301
Waaahh.. Yellow biled
Umeona wanyama wangap?View attachment 1109436
hapo kama simba yuko mwenyewe hana chake hapo lazima hapigweNani atashinda hii vita?View attachment 1109434
Duma ambae hana madoaView attachment 1108132
Huyu alikuwa kwenye matope
Mkuu kama unahitaji kibali nenda wizara ya maliasili na utaliiMkuu kazi nzuri...
ila mi swali langu ni kujua wanyama wanao hitaji kibali ili kuweza kuwafuga wajumbani pia na namna yakupata hivo vibali ...
JuvenileGREENB TREE PYTHONView attachment 1151846
Mkuu kile ni kitendo tu cha mashambuliziNaomba kuuliza swali dogo mkuu Panthera, hivi ni kwanini Simba wanapomkamata Nyati ili kumuua na kumla, pamoja na mambo mengine hua wanang'ata ule mkia wake wakidhamiria kuunyofoa?