Maalum kwa ajili ya wanyama pori

Kaka naomba umuelezee NYUKI maana nilickia kwamba nyuki akikutarget hata kama mpo watu elf , atahakikisha anakupata wewe. Hata ukizama kwenye maji bado atakusubir

sent using
 
Kaka naomba umuelezee NYUKI maana nilickia kwamba nyuki akikutarget hata kama mpo watu elf , atahakikisha anakupata wewe. Hata ukizama kwenye maji bado atakusubir

sent using
Ntamwelezea ndugu ila ulichosema ni imani tu
 
Ntamwelezea ndugu ila ulichosema ni imani tu

Kuhusu nyuki kukutarget wewe pekee katika watu elfu, mimi sijui lakini kuhusu kukusubiri ukizama majini hiyo ni kweli kabisa, ukizama na ukapiga mbizi bado wataendelea kuzengea juu ya maji huku wakikufuata kule unapoekekea wakati ukipiga mbizi hawakuachi kamwe hadi upate msaada.
 
Yah

Mbuni, wameumbwa strategically. Hao unaowaona hapo mweusi ni dume na huyo wa brown ni jike. Wameumbwa hivyo mahsusi kwani mbuni huatamia mayai kwa zamu, usiku dume mchana jike. Dume hulalia mayai usiku na rangi yake nyeusi ni vigumu kwa maadui kumuona kirahisi. Jike zamu yake ni mchana na rangi yake inafanana na nyasi kavu nayo pia ni ngumu kwa maadui kumuona kirahisi muda wa mchana.View attachment 1036803

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbuni harukii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi TANAPA hawawezi kushirikiana na watu wa Australia kuchukua wale kangaroo na kuja kuweka kwenye moja ya hifadhi zetu hapa Bongo??.Nadhani inaweza kuboost number of tourists wa ndani na nje ya nchi pia naona wale wanyama wanaweza ku-survive mazingira ya huku kwetu..
images%20(9).jpeg
images%20(10).jpeg
images%20(11).jpeg

#Muungwana_John
 
To introduce a spcies in a new habibat is a delicate and carefully process. kuna factor nyingi za ku consider mkuu na pia ni hatari sana. New species wanaweza kuwa introduced for a purpose but can be lethal to indigenous population of plants and Animal. Maisha ya viumbe yanategemea ecosystem ipoje . Kitu ambacho tunaweza kutengeneza ni zoo tuu na sio kuwaintroduce somewhere in the wild. Eg huku kwetu Zebra ni kawaida na wanhitajika lakini Marekani ni Tatizo somewhere also there is feral pigs from russia somewhere marekani .

Nimekuelewa mkuu..Hata hivyo sisi tuna mbuga nyingi sana ukiziacha hizi mbuga kubwa..Kuna zile mbuga ambazo zipo huko kwenye visiwa vya ziwa Victoria nadhani Tanapa wangefanya hii ingesaidia kuzitangaza hizo mbuga changa..Mbuga za huko nyingi zinasifika kwa kuwa na aina ya ndege watofauti sana ambao wanapatikana Tz. only.Ni vibaya hata kuanza na mbuga moja?

#Muungwana_John
 
Yah ni kweli.... Ni moja ya wanyama wenye low IQ. Na wasahaulifu sana.. Kwa jina lingine wanaitwa ZERO BRAIN, jike anaweza kuzaa mtoto na baada ya mda mfupi akamsahau kutokana na wingi wao, hivyo inampelekea kunyonyesha mtoto mwingne bila kujijua. Pia ana weza kukimbizwa na predator baada ya umbali kidogo akiona sehemu ina nyasi nzuri anasahau kama anakimbizwa then anaanza kula nyasi... Pamoja na hayo yote nyumbu wana uwezo mkubwa wa kunusa mvua, hivyo kipind cha ukame wana hama kwenda kwenye sehemu zenye chakula.......

Ana uwezo wa kujizuia kuzaa ata kama miezi imetimia... Yan kwa mfano amefika sehemu ambayo sio salama , alafu akahisi uchungu wa kuzaa , anaweza kujizuia ile mimba ata kwa zaidi ya wiki mbili, mpk afike sehemu salama na yenye chakula

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni elimu tosha. Naomba kujua kuhusu twiga nilisikia eti madume wanalana (kujamiana) wenyewe kwa wenyewe? brian shirima,witnessj
 
Naiomba wizara ya Mali Asili na Utalii itumie kisiwa cha Saa Nane kama hifadhi ya kuwazalisha wanyama wenye thamani kama Faru, Pundilia na Twiga.
Kwakuwa hakuna wanyama walanyama kama Simba, Chui, nk. ambao wanawapunguza kwa kuwala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom