Maalum kwa ajili ya wanyama pori

ARV

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
2,713
2,000
Kuna watu wana tabia za kwenye vijiwe vya kahawa eti mbwa mwitu haogopi kitu..angalia anavyotimua vumbi.. 66064818_496388114452090_2817707008054997021_n.jpeg
 
Ontuzu

Ontuzu

Member
Jun 26, 2009
83
125
Naomba kuuliza swali dogo mkuu Panthera, hivi ni kwanini Simba wanapomkamata Nyati ili kumuua na kumla, pamoja na mambo mengine hua wanang'ata ule mkia wake wakidhamiria kuunyofoa?
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,268
2,000
Naomba kuuliza swali dogo mkuu Panthera, hivi ni kwanini Simba wanapomkamata Nyati ili kumuua na kumla, pamoja na mambo mengine hua wanang'ata ule mkia wake wakidhamiria kuunyofoa?
Mkuu kile ni kitendo tu cha mashambulizi

Mara nyingi simba wanapo winda wanyama wakubwa, wengine hurukia mgongoni na sehem za nyuma na kuanza kung'ata uti wa mgongo ili kudhoofisha prey

Wanyama wasumbufu kama nyati hutumia mkia kurusha kinyesi au mchanga machoni pa adui... Labda inaweza kuwa sababu ya simba kunyofoa huo mkia
 
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
1,631

Mbona hutaji shingoni eneo lachini,pale kwann simba lazima ang'ate lile eneo
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,268
2,000
Mbona hutaji shingoni eneo lachini,pale kwann simba lazima ang'ate lile eneo
Nishaelezea sana kuhusu simba... Nimejibu kuendana na swali lake.... Kila mtu anajua simba anatumia suffocation kwenye kuua
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,268
2,000
Juzi nilikuwa nasikia watangazaji wa clouds wanadanganya watu..... Eti huyu zebra alipandana na chui FB_IMG_1570694695600.jpeg FB_IMG_1570694692805.jpeg FB_IMG_1570694688142.jpeg
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,268
2,000
IMPALA (male).
As it is in other male povids, they test the female for oestrus by inducing to urinate then collect a sample in their mouths and curling their upper lip ( flehmen) to help them analyse the hormone content and determine if the female is ready to mate. FB_IMG_1570694729513.jpeg
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,268
2,000
A lion pride is very complicated, and we all think the male is the boss...

It is not easy for him to be the boss. He can only do that by force -- fighting other lions, yes, but he also needs to control the lionesses and he can only do this with tooth and claw..

They are always ready to fight and kill him.
When he gets too old to defend them, or just too old, the lionesses will kill him or drive him out, and if he has been away from the pride for too long, they will also attack him -- even if he is younger and in his prime (photo of the ousted lion).
Luckily, they did not kill the lion in this photo. The poor guy ran for his life and managed to get away.

Lionesses are meaner than the lions, but then they have to be because they are the primary hunters and protect their cubs.

* The photo of the snarling lioness with the bleeding ear, resting with her cubs after a fight with the pride's dominant lion. Screenshot_20191010-150422.jpeg Screenshot_20191010-150406.jpeg Screenshot_20191010-150355.jpeg Screenshot_20191010-150345.jpeg
 
Top Bottom