Maalum kwa ajili ya wanyama pori

Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
561
Points
1,000
Jason Statham2

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
561 1,000
Yah ni kweli.... Ni moja ya wanyama wenye low IQ. Na wasahaulifu sana.. Kwa jina lingine wanaitwa ZERO BRAIN, jike anaweza kuzaa mtoto na baada ya mda mfupi akamsahau kutokana na wingi wao, hivyo inampelekea kunyonyesha mtoto mwingne bila kujijua. Pia ana weza kukimbizwa na predator baada ya umbali kidogo akiona sehemu ina nyasi nzuri anasahau kama anakimbizwa then anaanza kula nyasi... Pamoja na hayo yote nyumbu wana uwezo mkubwa wa kunusa mvua, hivyo kipind cha ukame wana hama kwenda kwenye sehemu zenye chakula.......

Ana uwezo wa kujizuia kuzaa ata kama miezi imetimia... Yan kwa mfano amefika sehemu ambayo sio salama , alafu akahisi uchungu wa kuzaa , anaweza kujizuia ile mimba ata kwa zaidi ya wiki mbili, mpk afike sehemu salama na yenye chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni elimu tosha. Naomba kujua kuhusu twiga nilisikia eti madume wanalana (kujamiana) wenyewe kwa wenyewe? brian shirima,witnessj
 
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
3,479
Points
2,000
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2017
3,479 2,000
Naiomba wizara ya Mali Asili na Utalii itumie kisiwa cha Saa Nane kama hifadhi ya kuwazalisha wanyama wenye thamani kama Faru, Pundilia na Twiga.
Kwakuwa hakuna wanyama walanyama kama Simba, Chui, nk. ambao wanawapunguza kwa kuwala.Sent using Jamii Forums mobile app
 
free lander

free lander

Senior Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
174
Points
250
free lander

free lander

Senior Member
Joined Nov 7, 2018
174 250
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
2,523
Points
2,000
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
2,523 2,000
Ni mnyama gani wa porini anaweza kuishi na binadamu na wakawa marafiki pia akawa mlinzi.
Simba,nyoka sina imani nao
 
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
1,529
Points
2,000
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
1,529 2,000
Jamani naomba kuuliza. Kuna mdudu akipita usiku anatoa mwanga. Huo mwanga unawaka kama indicator ya pikipiki. Je huyu mdudu anatumia mechanism gan kuzalisha ule mwanga? Au ana solar panel ambazo zinafyonza mwanga wa jua na anautumia usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Messages
1,977
Points
2,000
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2019
1,977 2,000
Jamani naomba kuuliza. Kuna mdudu akipita usiku anatoa mwanga. Huo mwanga unawaka kama indicator ya pikipiki. Je huyu mdudu anatumia mechanism gan kuzalisha ule mwanga? Au ana solar panel ambazo zinafyonza mwanga wa jua na anautumia usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani huyu! Unae muongelea
img_20190313_193657_3-jpeg.1056499
img_20190313_193724_7-jpeg.1056500
img_20190313_193711_8-jpeg.1056501
 

Forum statistics

Threads 1,313,879
Members 504,678
Posts 31,807,107
Top