Maalum kwa ajili ya wanyama pori

Cjajua unamuongelea mnyama gan!!! Labda hawa wallabies, lakim hawapatkan huku...

Wallaby & mangoose
Screenshot_20190302-100544.jpeg
FB_IMG_1551510202344.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Albatross is one of the largest Birds in the skies as the wingspan of the male Wandering Albatross can easily reach 3.5 meters or more in length, meaning that it has the largest wingspan of any Bird.
Screenshot_20190302-160549.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa tunajifunza tabia na maisha ya wanyama kwa ujumla Niwape Kongole mtaalamu wangu brian shirima kwa ushirikiano Mkubwa na ARV dada yangu witnessj na wengine mnaojitahidi kutupa mwanga, msaada kidogo kwa hili, kwa mda sasa nimekuwa nikisikia kuwa Nyumbu ni mnyama msahaulifu sana, yani hata kama ameponea chupuchupu kuliwa na mnyama mkali, ni seconds kadhaa anasahau.Je kuna ukweli gani kwenye hili?
 
The tapered wings of the Albatross means that it tends to glide through the air rather than flying which uses much more energy. The Albatross is known to practice a flying technique known as dynamic soaring, meaning that the Albatross makes use of the up-drafts of wind above the waves to give it extra lift, for longer periods of time, and without really doing anything.View attachment 1036642View attachment 1036643
Screenshot_20190303-084925.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa tunajifunza tabia na maisha ya wanyama kwa ujumla Niwape Kongole mtaalamu wangu brian shirima kwa ushirikiano Mkubwa na ARV dada yangu witnessj na wengine mnaojitahidi kutupa mwanga, msaada kidogo kwa hili, kwa mda sasa nimekuwa nikisikia kuwa Nyumbu ni mnyama msahaulifu sana, yani hata kama ameponea chupuchupu kuliwa na mnyama mkali, ni seconds kadhaa anasahau.Je kuna ukweli gani kwenye hili?
Yah ni kweli.... Ni moja ya wanyama wenye low IQ. Na wasahaulifu sana.. Kwa jina lingine wanaitwa ZERO BRAIN, jike anaweza kuzaa mtoto na baada ya mda mfupi akamsahau kutokana na wingi wao, hivyo inampelekea kunyonyesha mtoto mwingne bila kujijua. Pia ana weza kukimbizwa na predator baada ya umbali kidogo akiona sehemu ina nyasi nzuri anasahau kama anakimbizwa then anaanza kula nyasi... Pamoja na hayo yote nyumbu wana uwezo mkubwa wa kunusa mvua, hivyo kipind cha ukame wana hama kwenda kwenye sehemu zenye chakula.......

Ana uwezo wa kujizuia kuzaa ata kama miezi imetimia... Yan kwa mfano amefika sehemu ambayo sio salama , alafu akahisi uchungu wa kuzaa , anaweza kujizuia ile mimba ata kwa zaidi ya wiki mbili, mpk afike sehemu salama na yenye chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbuni, wameumbwa strategically. Hao unaowaona hapo mweusi ni dume na huyo wa brown ni jike. Wameumbwa hivyo mahsusi kwani mbuni huatamia mayai kwa zamu, usiku dume mchana jike. Dume hulalia mayai usiku na rangi yake nyeusi ni vigumu kwa maadui kumuona kirahisi. Jike zamu yake ni mchana na rangi yake inafanana na nyasi kavu nayo pia ni ngumu kwa maadui kumuona kirahisi muda wa mchana.
454a5310a99f08fd707d298b18824040.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakosea ndugu! Idadi ya wanyama huwa inahesibiwa ila sio kwa wote! Mfano sensa ya mwisho idadi ya nyumbu wanao hama inakisiwa kuwa 1.5 milion na zebra zaid ya laki nne

Sensa hufanyika kwa kutenga kila eneo la mraba na wanafanya kwa kutumia magari, ndege ndogo na hata kwa miguu

Sent using Jamii

Mimi ninataka kujua, nikitaka kutalii Serengeti, huduma za malazi zipoje? Je, ndani ya mbuga kuna hostels au hotels? Kama zipo zipo za kutufaaa sisi, commoners?
Je,nikitaka kulala nje ya mbuga kisha asubuhi ndiyo nije kutalii nalala wapi? Kuna huduma za malazi uraiani, ni wapi na ni umbali gani?

Asante
 
Yah ni kweli.... Ni moja ya wanyama wenye low IQ. Na wasahaulifu sana.. Kwa jina lingine wanaitwa ZERO BRAIN, jike anaweza kuzaa mtoto na baada ya mda mfupi akamsahau kutokana na wingi wao, hivyo inampelekea kunyonyesha mtoto mwingne bila kujijua. Pia ana weza kukimbizwa na predator baada ya umbali kidogo akiona sehemu ina nyasi nzuri anasahau kama anakimbizwa then anaanza kula nyasi... Pamoja na hayo yote nyumbu wana uwezo mkubwa wa kunusa mvua, hivyo kipind cha ukame wana hama kwenda kwenye sehemu zenye chakula.......

Ana uwezo wa kujizuia kuzaa ata kama miezi imetimia... Yan kwa mfano amefika sehemu ambayo sio salama , alafu akahisi uchungu wa kuzaa , anaweza kujizuia ile mimba ata kwa zaidi ya wiki mbili, mpk afike sehemu salama na yenye chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran ndugu brian shirima....... .umesema ni mojawapo ya wanyama wasahaulifu mean kwamba wapo wanyama wengine ambao ni ZERO BRAIN, Could you please tufahamishe wanyama hao wengine
 
Yah ni kweli.... Ni moja ya wanyama wenye low IQ. Na wasahaulifu sana.. Kwa jina lingine wanaitwa ZERO BRAIN, jike anaweza kuzaa mtoto na baada ya mda mfupi akamsahau kutokana na wingi wao, hivyo inampelekea kunyonyesha mtoto mwingne bila kujijua. Pia ana weza kukimbizwa na predator baada ya umbali kidogo akiona sehemu ina nyasi nzuri anasahau kama anakimbizwa then anaanza kula nyasi... Pamoja na hayo yote nyumbu wana uwezo mkubwa wa kunusa mvua, hivyo kipind cha ukame wana hama kwenda kwenye sehemu zenye chakula.......

Ana uwezo wa kujizuia kuzaa ata kama miezi imetimia... Yan kwa mfano amefika sehemu ambayo sio salama , alafu akahisi uchungu wa kuzaa , anaweza kujizuia ile mimba ata kwa zaidi ya wiki mbili, mpk afike sehemu salama na yenye chakula

Sent using Jamii Forums mobile app

Anaweza kujizuia kuzaa zaidi ya wiki 2, akitafuta mahali salama na penye chakula----- bado wamwita Zero brain?!!.
 
Naongezea swali hapa; Ni huyu nyumbu na Punda milia wanaoongoza na kujua njia ya Serengeti - Maasai. Je bado anastahiri kuitwa zero brain

Not strong will survival but remnants are strong
 
Back
Top Bottom