Maalimu Seif siyo Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar?

Great Thinkers, nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini vyombo vya habari (hususani magazeti=haswa mwananchi) kwa nini kwenye title zao huwa hawaanzi na title ya MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR?
Mfano:Maalimu Seif ahimiza uwekezaji katika elimu

Kwa sababu Maalim Seif, Makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar, hawezi na haruhusiwi kukaimu Uraisi Zanzibar Raisi wa Zanzibar anapokuwa hayupo - hivyo ndivyo ilivyo, nani anabisha ?
 
Maalim Seif ndiye mwenye serikali wengine wamebadikizwa kijujuu tu. Lazima apewe heshima yake. Hat JK anamtambua.
 
Back
Top Bottom