Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 187
Sina shaka na hakuna mawaa yeyote kwamba wewe ni sehemu ya serikali ya Zanzibar,kizuri zaidi ni kwamba wewe umetokea chama cha upinzani yaani CUF.raisi wako naye katokea CCM,je wewe Seif unasimamia utekelezaji wa ilani ya chama gani?