Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,903
- 7,813
Kwa kunyamazia taaarifa zinazoenezwa za kurudiwa kwa uchaguzi zinazoenezwa na wana Ccm na kuingia kwenye mtego wa kudumisha usiri huku akiwa mshiriki pekee wa CUF ni wazi Seif keshazidiwa na hajui atoke vipi mtegoni na kuwashawishi CUF Kurudiwa uchaguzi.
Ukiwa na kichwa chepesi utagundua kuwa makada wa CCM kama aliyekuwa hotmix leo wanatoa habari za kurudiwa uchaguzi kwa maelekezo lengo ikiwa kuzoesha na kupima.
Ikumbukwe kuwa makubaliano ni kutoa taarifa ya pamoja na si Ccm kutoa taarifa za peke. Seif anapaswa kuwa thabiti vinginevyo asahau kukubalika Cuf.

Last edited by a moderator: