Maalimu Seif awasha moto Mwanza,asema CCM lazima ife mwakani

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
1,188
567
Nimeona uzi mmoja umepostiwa humu jukwaani umejaa upotoshwaji sana,sijui umepostiwa na gamba ama kadava la ACT,
imenibidi niweke picha za mkutano wa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar na katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe Self Sharrif Hamad,moja ya vyama vinavyounda UKAWA,na mkutano wa leo ulihutubiwa nae kama sehemu ya mikutano ya UKAWA,

Kimsingi watu walikuwa wengi sana,tena kutoka vyama vyote,ila kutokana na gamba hyo kuchukua picha za awali /mapema kabla ya mkutano haujaanza,kipindi ambacho watu walikuwa wachache,nimeona nije na ukweli huu kuondoa Utata,coz magamba na matawi yao ya ACT wanapatwa na kiwewe wakisikia kitu UKAWA,

haya ni baadhi mambo muhimu aliyoyongea kiongozi huyo alipokuwa akihutubia wananchi waliokuwa wamefurika katika viwanja vya Furahisha leo jioni.

"Chama Cha Mapinduzi CCM sasa kina KUFA rasimi 2015 hakuna wa kukiponya na KIFO."
na akaenda mbali zaidi kwa kutoa wito kwa kuwataka vijana na watu wenye mapenzi mema na nchii hii waanze mazoezi ya kutafta pumzi kwa ajili ya maandamano ,ambayo hayatakuwa na kikomo,maandamano ya kudai katiba mpya na kupinga katiba ya CCM inayoendelea kuandikwa Dodoma.

Seif alisisitiza kwamba,Serikali 3 ni jambo la lazima kama serikali 3 hazitakiwi na mbili hazivumiliki
‪#‎UKAWA‬



attachment.php
attachment.php

 

Attachments

  • 996146_1527948644106948_6400530827564711472_n.jpg
    996146_1527948644106948_6400530827564711472_n.jpg
    30.7 KB · Views: 1,815
Asante kwa taarifa Mkuu gamba alichukua picha wakati tuna funga mitambo na kuja kudanganya wana JF!
 
Nilikuwepo Na Hakika Ukawa Wanatisha,magamba Lazima Yatage Mwaka Huu
 
Jenga hoja acha matusi!

Ndo hoja ishajengwa hivyo kuwa maalim ni mnafiki ana alama zote, atakapowageuka ndo mtamjua yeye ni nani.

Nyie mnaamini 3,yeye anaamini zanzibar yenye kiti chake UN. Huoni kama huo mkorogo ni wa kinafiki?
 
Ni kichaa tu anaesema watu hawakuwepo mkutano wa jana. Yalikuwa mafuriko makubwa ya raia.
 
Ndo hoja ishajengwa hivyo kuwa maalim ni mnafiki ana alama zote, atakapowageuka ndo mtamjua yeye ni nani.

Nyie mnaamini 3,yeye anaamini zanzibar yenye kiti chake UN. Huoni kama huo mkorogo ni wa kinafiki?

Mwaka Huu mtataga Mayai ya kokoto. Tulia dawa ikuingie Barabara.
 
kumbe ndivyo ulivyo, mwenzetu pofu, lakini hujioni na kuanza kwasusuika wenzio.


mie nnakupa pole kubwa

Sasa huoni hapo tutakuwa na Tanganyika ile mnayoifuta hata neno hilo hamtaki kulisikia kwa ulafi wa madaraka yenu.
Wakoloni weusi bana jinga to the max
 
admin nnaomba maelezo hii huwaje mm sijapost chochote kwenye hii thread kisha mtu anaquote kua mm nimesema na jina langu linatokeze kwenye quotation yake

kama ilivyo kwenye post #19 .

ttz ni nn au huwaje maana ni sawa na kulishwa maneno nisiotamka
invicible
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom