Maalimu Seif Atimua Waandishi Wa Habari kwenye Mkutano Buguruni!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Maalimu Seif amewatimua Waandishi Wa Habari leo Buguruni huku Mwaandishi wa TBC akiambulia matusi makubwa!!
Taarifa zinaonyesha kuwa leo asubuhi kabla seif hajawasili Hq Cuf, kuna mtu alipiga simu Ofice za TBC kuwa wanataka waandishi wa Habari na Ofici ilipo peleka waandishi, walipo fika wakaambiwa kuna maelekezo mengine wamepewa na Seif kuwa Waandishi hawatakiwi na Blue gads wamepewa kazi ya kufuatilia Sura za Waandishi na kuwashughurikia!!!

Pia kuna Magari ya FUSO yanasomba Wafuasi wa Seif kutoka katika Matawi !!!!
 
Huyu babu naye kafuata nini huku bara yeye kama nani!!? Si bora aende akale urojo huko kwao.!!?
 
Hivi Seif huyu ninaemjua mimi ndie kaanza mambo ya kutimua Waandishi wa habari! Kweli SUK imemlevia?
 
Back
Top Bottom