Maalimu Seif apokelewa kwa shangwe za "Rais,Rais" Msikitini Unguja

Urais ni nothing zaidi ya jina tuu, kinachomatter ni madaraka na mamlaka ya urais huo!.

Kuna Malinzi ni rais wa TFF, tuna rais wa Manzese, tuna rais wa mama ntilie, hata mimi ni rais wa jamhuri ya Pasco, inayoanzia mlango wa mbele wa chumba na sebule cha nyumba niliyopanga, hadi chumbani!.

Hivyo kuitwa rais rais sii hoja!, hoja ni ana ,madaaka na mamlaka gani?!.

Pasco
 
Kutoka kutaka madaraka ya nchi mpaka kushushwa kuwa rais wa msikiti...huwa nahoji,huyu mzee kweli alikuwa anaumwa?au alikubalishwa na kuambia ajifanye anaumwa,apelekwe India ki magumashi ili ku create public sympathy kwamba hajiwezi kiafya....kumbe anajua anachokifanya!!!! Nani alimlipia pale Serena hotel,presidential suit ya kifahari? Mzee tunaomba ufunguke....ujue ndugu zetu walipigwa risasi enzi ya mkapa kwa ajili yako,sasa umepata vingora na marupurupu kedekede na ulinzi mzito umetusahau,unajificha misikitini tu
 
Hajaandaa mazingira ya yeye kuwa rais,anatakiwa again trust ya wengi kwamba hatopindua misingi ya nchi yake na yetu Tz. Asipofanya hivyo atabaki kuimbiwa ngonjera za kitu ambacho Hana na hawezi kukipata.
Ahueni amewahi kuwa makamu wa rais basi kajitahidi lakini yaonekena anautaka uprezidaa kamavipi angepewa urais hata wa ZFA au chama cha karafuu kwamana wa nchi ishakua haiwezekani.
 
Urais ni nothing zaidi ya jina tuu, kinachomatter ni madaraka na mamlaka ya urais huo!.

Kuna Malinzi ni rais wa TFF, tuna rais wa Manzese, tuna rais wa mama ntilie, hata mimi ni rais wa jamhuri ya Pasco, inayoanzia mlango wa mbele wa chumba na sebule cha nyumba niliyopanga, hadi chumbani!.

Hivyo kuitwa rais rais sii hoja!, hoja ni ana ,madaaka na mamlaka gani?!.

Pasco
Madaaka ndio nini ?
 
Kama wanaamini ni Rais kwanini wasimtafutie watu wakamuapisha na yeye akawa Rais wa mioyo ya hao Wazanzibari wenye kumuimbia "Rais, Rais"

Ww jamaa una chuki za Dini mbaya sana ww yyote mwenye jina la kiislam kwako ni adui!
Haya anayoyafanya Magufuli angelikuwa ni kikwete ndio anafanya ungejaza saver na magazeti yote ya bongo na pengine ungerikodi documentary hassa kwa kukosoa!kwanini Kikwete anajina la kiislam!
Ww Mzee wacha udini ww!
 
Wewe ndie mdini unataka kutuhamisha kwenye mada
Mzee Mwanakijiji hakumtaja kikwete wala magufuli,kawataka hao nyumbu wamuapishe sefu awe rais wa mioyo yao kama alivyofanya kiiza besigye
 
Nafikiri tusibeze tu bila kutazama kwa jicho la tatu. No matter what hapo kuna mesage fulani ambayo hao watu wanaituma. Usipokuwa na hekima ya kufikiri nje ya box unaweza kutoona chochote kwa kitendo hicho. Na huwezi kuliona hilo ukilitizama tukio hili kwa jicho la kiitikadi anyway.
 
Back
Top Bottom