Maalimu Seif achafukwa juu ya utekwaji wa Mdude

M/kitii wa ccm mkoa niliopo leo nilikuwa nae kwenye mpira wakati tunaongelea hilo swala la mdude kuna mzee mmoja akamwambia jamaa kuwa "Bashir alifanya ukatili saana kwa wapinzani wake na wananchi wakauchuna tu lkn bei ya MKATE imewafanya wananchi wamtimue Bashir"

M/kitiI akanywea kiaina japo aliendeleza ubishi
 
Watanzania wameumia sana
FB_IMG_1557173947093.jpeg
 
Siku zinakuja
M/kitii wa ccm mkoa niliopo leo nilikuwa nae kwenye mpira wakati tunaongelea hilo swala la mdude kuna mzee mmoja akamwambia jamaa kuwa "Bashir alifanya ukatili saana kwa wapinzani wake na wananchi wakauchuna tu lkn bro ya MKATE imewafanya wananchi wamtimue Bashir"

M/kitiI akanywea kiaina japo aliendeleza ubishi
 
Labda alikufa kafufuka tena. Hakumbuki 2009 alitekwa kiongozi wa mgomo wa madaktari.
 
Juzi nimeota JIWE kakamatwa na akawa amebaki na KIBUKTA plus KI SINGLAND baada ya kichapo kikali cha paka shume koko akawa kakalia kibenchi kwenye kituo cha polisi Dumila baada ya gari alilokuwa akitorokea kuelekea CHATTLE kushtukiwa na wananchi na kuweka magogo kulizuia kuna askari aliyekuwa kwenye msafara wa kumtorosha aliivujisha kiaina NIMEAMKA NIMEKUNJA NGUMI NA NIMEUPIGA KERBU UKUTA NIKIJUA NI YEYE
 
rudi endelea kulala mkuu mwisho anaweza kuuwawa kabisa inavyonekana
 
Juzi nimeota JIWE kakamatwa na akawa amebaki na KIBUKTA plus KI SINGLAND baada ya kichapo kikali cha paka shume koko akawa kakalia kibenchi kwenye kituo cha polisi Dumila baada ya gari alilokuwa akitorokea kuelekea CHATTLE kushtukiwa na wananchi na kuweka magogo kulizuia kuna askari aliyekuwa kwenye msafara wa kumtorosha aliivujisha kiaina NIMEAMKA NIMEKUNJA NGUMI NA NIMEUPIGA KERBU UKUTA NIKIJUA NI YEYE
Kuna siku Watajuta, kama siyo Wao hata Vizazi vyao. Chuki iliyojengeka miongoni mwa Watanzania waliumizwa na Ndugu na Jamaa si ya Kitoto!
 
Hayo inaonekana ni madhara ya kulala njaa, siku nyingine utaota unatafunwa kijambio.

Back
Top Bottom