Maalim Seif ziarani Marekani - akutana na Mabalozi wa nchi mbali mbali

Hii habari nataka nimshawishi mod aiweke jukwaa la siasa. unaonaje Mzizi mkavu?.
 
Last edited by a moderator:
Bora dhaifu na legevu kuliko wewe zuzu ***** mkubwa we

1. ODM ya kenya imeolewa na KANU?
2.MDC ya Zimbabwe imeolewa na ZANU-PF?
Siasa za wakati huu ni Coalition Gorverment tu ndio mfumo unaofuatwa ulimwengu mzima, sisi Wa Tanganyika ndio walegevu tutabaki kutawaliwa na Magamba (CCM) na watoto wao baadae wajuukuu zao vilevile watakuja kututawala mpaka mwisho wa dunia kwa sababu ya udhaifu na elegevu wetu wa Kitanganyika:eek2:
 
Hana mvuto tena baada ya kukubali ndoa na CCM!

Chama cha upinzani cha kenya na zimbambwe na ulimwenguni kote havina mvuto tena kwa wafuasi wao kwa kuingia katika Coalition Gorverment?

1. ODM ya kenya imeolewa na KANU?
2.MDC ya Zimbabwe imeolewa na ZANU-PF?
Siasa za wakati huu ni Coalition Gorverment tu ndio mfumo unaofuatwa ulimwengu mzima, sisi Wa Tanganyika ndio walegevu tutabaki kutawaliwa na Magamba (CCM) na watoto wao baadae wajuukuu zao vilevile watakuja kututawala mpaka mwisho wa dunia kwa sababu ya udhaifu na elegevu wetu wa Kitanganyika:eek2:
 
Hakuna kitu kama hicho. Maalim Seif anajua fika kiini cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kama ni kweli ana mawazo hayo; anajifanya hamnazo na ni dalili wazi kabisa kuwa chama chake kimejizika chenyewe baada ya kukubali kuolewa na CCM. Sasa anaota ndoto za kuwapo kwa Zanzibar huru, ili afanyanyeje? Hapo utapinga madai kwamba ajenda ya uamsho ilikuwa ni ya wakubwa katika Zanzibar?

Wamarekani na WaFaransa ndio waliosababisha muungano wa Senegambia,
mbona muungano wa Senegal na Gambia ulivunjika baada ya miaka 15:baby:
 
Kajua cuf ishakufa ivo Ana chake 2015 si angeenda bakwata au kwa kadhikudai talaka marekani ndio kadhi? Atajuta kuilewa kauza utu kanunua utumwa

Nani amekwambia CUF ishakufa?

[h=3]Chama Cha Wananchi(CUF)Chazindua Kampeni ya Uchaguzi wa Jimbo la Bububu[/h]

IMG_9953.JPG

Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitowa sera za Chama chake kwa wananchi waliofika katika uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya skuli ya bububu jana
IMG_9973.JPG

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CUF Machana Khamis, akizinduwa Kampeni za Uchaguzi wa Chama chake katika viwanja vya skuli ya bububu jana
IMG_9980.JPG

Mgombea wa Chama cha CUF Issa Khamis akijitambulisha kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo unaofanyika kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Salim Amuor Mtondoo
IMG_9976.JPG

Makamu Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis, akimtambulisha Mgombea wa Chama hicho Issa Khamis, kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu katika Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Skuli Bububu.
IMG_9958.JPG

Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
IMG_9942.JPG

Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
IMG_9963.JPG

IMG_9951.JPG

Wanachama wa CUF wakishangilia katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Jimbo la Bububu zilizofanyika katrika viwanja vya Skuli ya Bububu.
 
Maalim Sief hajakwenda kuomba UHURU marekani bali amekwenda kulingana na "protocl" za UN kuwa wakati nchi zinapotaka kiti chao UN, lazima ombi lipitie security council na liletwe na moja za nchi za SC. Sasa hii ni kuwaeleza marafiki zetu wa jadi kuwa sisi tunakuja UN kutaka turudishiwe kiti chetu na tunawaomba marafiki zetu wasitupinge. -- Hhahahaah. Kazi kwenu sisi tuko mbali sana katika kudai UHURU wetu nyinyi mumebaki na matusi tu. Endeleeni kutukana na sisi tunaendelea kutafuta UTAIFA wetu.
 
Aache ndoto za Mchana. Zanzibar huru itoke wapi mbele ya makucha ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano? Si walikubali wenyewe kuuza Identity yao kwa Woga wa Karume, sasa wanatupigia kelele za nini?

Angalau Zanzibar bado wako na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na full cabinet Ministers......iko wapi Tanganyika yetu utaifa wa mababu na mabibi zetu waliojivunia.

sasa nani mwoga kati ya Karume na Nyerere?
 
..utaratibu wa kuwa mwanachama wa UN ni huu hapa.

..lakini jambo la kwanza ni lazima u-exist na utambuliwe na mataifa wanachama wa UN.

Rule 134

[see introduction, para. 4]

Any State which desires to become a Member of the United Nations shall submit an application to the Secretary-General. Such application shall contain a declaration, made in a formal instrument, that the State in question accepts the obligations contained in the Charter.

Notification of applications

Rule 135
[see introduction, para. 4]

The Secretary-General shall, for information, send a copy of the application to the General Assembly, or to the Members of the United Nations if the Assembly is not in session.

Consideration of applications and decision thereon

Rule 136

If the Security Council recommends the applicant State for membership, the General Assembly shall consider whether the applicant is a peace-loving State and is able and willing to carry out the obligations contained in the Charter and shall decide, by a two-thirds majority of the members present and voting, upon its application for membership.

Rule 137
[see introduction, para. 4]

If the Security Council does not recommend the applicant State for membership or postpones the consideration of the application, the General Assembly may, after full consideration of the special report of the Security Council, send the application back to the Council, together with a full record of the discussion in the Assembly, for further consideration and recommendation or report.

Notification of decision and effective date of membership
Rule 138
[see introduction, para. 4]​
The Secretary-General shall inform the applicant State of the decision of the General Assembly. If the application is approved, membership shall become effective on the date on which the General Assembly takes its decision on the application.
 
Asante kwa picha Mkuu japo Inaonekana Kama kikao cha harusi na sio mkutano wa kisiasa! Unajua maalim seif ndio amekimaliza cuf kwa kukubaliana na ndoa ya jinsia moja ya ccm. Kama huku bara watu wameshaanza kukisahau Siku hizi sioni tena bendera wala mashina Yao waliyokuwa wameyafungua Hata kofia Na tshit ndio nimeziona Leo kwenye izo picha....Asante mkuu

Nani amekwambia CUF ishakufa?

[h=3]Chama Cha Wananchi(CUF)Chazindua Kampeni ya Uchaguzi wa Jimbo la Bububu[/h]

IMG_9953.JPG

Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitowa sera za Chama chake kwa wananchi waliofika katika uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya skuli ya bububu jana
IMG_9973.JPG

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CUF Machana Khamis, akizinduwa Kampeni za Uchaguzi wa Chama chake katika viwanja vya skuli ya bububu jana
IMG_9980.JPG

Mgombea wa Chama cha CUF Issa Khamis akijitambulisha kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo unaofanyika kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Salim Amuor Mtondoo
IMG_9976.JPG

Makamu Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis, akimtambulisha Mgombea wa Chama hicho Issa Khamis, kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu katika Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Skuli Bububu.
IMG_9958.JPG

Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
IMG_9942.JPG

Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
IMG_9963.JPG

IMG_9951.JPG

Wanachama wa CUF wakishangilia katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Jimbo la Bububu zilizofanyika katrika viwanja vya Skuli ya Bububu.
 
Asante kwa picha Mkuu japo Inaonekana Kama kikao cha harusi na sio mkutano wa kisiasa! Unajua maalim seif ndio amekimaliza cuf kwa kukubaliana na ndoa ya jinsia moja ya ccm. Kama huku bara watu wameshaanza kukisahau Siku hizi sioni tena bendera wala mashina Yao waliyokuwa wameyafungua Hata kofia Na tshit ndio nimeziona Leo kwenye izo picha....Asante mkuu
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: Mjengwablog Itaripoti Live Mkutano Wa CUF Jangwani

PICHA KWA HISANI YA MJENGWA BLOG LIVE FROM JANGWANI JIONI YA LEO 9/9/2012

[h=3]Mchakamchaka Mpaka Ikulu 2015[/h]

Bwana Katani Ahmadi,mwenyekiti wa vijana wa CUF akisoma risala ya vijana kwa mwenyekiti

[h=3]Prof. Lipumba Atangaza Operesheni Mchakamchaka Mpaka Ikulu 2015[/h]
Prof. Lipumba,ametangaza kuwa operesheni hiyo inaanza na mikoa 6

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS, ZANZIBAR, MHESHIMIWA MAALIM SEIF HAMMAD KUKUTANA NA WATANZANIA LEO JIONI NCHINI UINGEREZA

IMG_7921.jpg

Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Seif Sharif Hamad, siku ya
Alhamisi tarehe 14/9/12 alikutana na Waziri wa Uingereza anashugulikia
maswala ya Afrika Bw. Mark Simmonds. Kwenye mazungumzo yao
walibadilishana mawazo kuhusu maswala ya Tanzania na hususan hali ya
kisiasa ya Zanzibar, mazungumzo hayo yalihudhuria na Balozi wa Tanzania
nchini Uingereza, Balozi Peter Kallaghe

DSC_0323.jpeg

Makamu
wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Maalim Seif Hammad, akisalimiana na
Viongozi na Wawakilishi wa Jumuiya ya Waingereza walio wahi kuishi
Tanzania (Britain Tanzania Society). Aliyepewa mkono na Mheshimiwa
Makamu wa Rais ni Bwana David Brewin Mhariri wa Jarida la kila mwezi
linalotolewa na BTS, Mama Liz Fennell, Makamu wa Rais BTS (mbele
kulia), Mama Valerie Leach - Katibu (kwanza kushoto), Bwana Dan Coo-
Mwanachama BTS, Bwana Ron Fennel, Afisa wa Miradi ya BTS kwa Tanzania
na Bwana Andrew Coulson, Afisa Mkuu wa Mipango ya Jumuiya hiyo ya BTS.

DSC_0315.jpeg

Makamu
wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mheshimiwa Maalim Seif Hammad, akiwa
pamoja na Mabalozi wa nchi za Afrika ya Mashariki. Mheshimiwa Seif
alikutana na Mabalozi hao jana kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania,
London. Katikati ya picha ni Mheshimiwa, Makamu wa Rais, Balozi wa
Tanzania, Mheshimiwa Peter Kallaghe (kushoto), Balozi wa Rwanda,
Mheshimiwa Ernest Rwamucyo (Pili kushoto), Balozi wa Uganda, Mheshimiwa
Joan Rwabyomere (Pili kulia), na Balozi Mdogo wa Burundi, Mheshimiwa
Bernard Ntahiraja (Kwanza kulia).

--
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mheshimiwa Maalim Seif Hammad, aliendelea
na Ziara yake ya jana hapa nchini Uingereza. Mheshimwa Seif, jana
alikutana na Waziri wa Uingereza anashugulikia maswala ya Afrika Bw.
Mark Simmonds.

Kwenye mazungumzo yao walibadilishana mawazo kuhusu
maswala ya Tanzania na hususan hali ya kisiasa ya Zanzibar, mazungumzo
hayo yalihudhuriwa pia na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza,
Mheshimiwa Balozi Peter Kallaghe.

Vile vile Mheshimiwa Makamu wa Rais, aliweza kukutana na Mabalozi wa nchi za Afrika ya Mashariki na Viongozi
wa Jumuiya ya Waingereza waliowahi kuishi Tanzania, ijulikanayo kama Britain Tanzania Society (BTS).

Leo hii siku ya Ijumaa, Jioni, kuanzia Saa 18:00pm mpaka saa 21:00, Mheshimiwa Makamu
wa Rais atakutana na Watanzania wote waishio London, katika Ukumbi wa University of London Union, Mtaa wa Malet Street, WC1E 7HY

Watanzania wote wenye nafasi ya kufika mnakaribishwa. Watakao hudhuria mnaombwa sana kuzingatia muda uliopangwa.
 
Seif Hamad is powerful in some capacity within CCM Government... Mmm was in USA, now UK...

VIONGOZI WA SERIKALI ILIYO MADARAKANI wanasafiri haswa nje ya NCHI; Hivi wanaporudi Wanalete MIRADI na MISAADA?
 
SLAA akimuona hapo roho inauma, anajitahidi achochee vurugu lakini watanzania hawamuelewi atasaga viatu mpaka vitaisha hatafikia alipofikia maalim.
 
SLAA akimuona hapo roho inauma, anajitahidi achochee vurugu lakini watanzania hawamuelewi atasaga viatu mpaka vitaisha hatafikia alipofikia maalim.

Two things:

1. Inaelekea CUF wana mkakati mmoja tu - kuwa chama cha upinzani forever. Otherwise wangekuwa wanajipima na CCM na sio na chama kingine cha upinzani!

2. Maalim Seif na utanzania wapi na wapi!
 
Back
Top Bottom