Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Makamu Wa kwanza Wa Rais visiwani Zanzibar, Seif Hamad jana ameshugulikiwa na mbunge Wa Arumeru Joshua Nassari (dogo janja) Arusha kwenye kampeni za uchaguzi kata ya Themi.
Seif alifanya mkutano relini Njiro na Nassari alifanya mkutano nyuma ya nanenane takribani mita 300 toka relini. Seif alianza then Nassari akapita kuelekea mkutanoni na ambapo seif alikuwa na watu wasiozidi 60 Nassari akazoa watu na kuhutubia maelfu. Baada ya mkutano wananchi walinsindikiza mbunge Wa Meru mpaka relini ambapo seif alishaondoka na mkutano Wa CUF ulishakwisha, Nassari akawaaga wananchi na kuelekea Meru.
Ilikuwa ajabu mbunge huyu Mdogo kumfunika vibaya makamu Wa Rais aliyekuwa akilindwa na magari 7 ya polisi likiwemo la RPC. Lema jana alikuwa kaa ya Kaloleni barabara ya ilboru na baadae sunset Elerai.