Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

Naamini kuna kauli mbadala hasa unapotaka kuwasilisha ujumbe wowote ule.
Kauli kama hizi hazifai hasa kwa mtu anayetafuta wadhifa mkubwa wa kuongoza watu.
Zaidi ya hayo umri wake kama Mzee ugemfanya kuyapima maneno yake kabla hajayafyatua. Maana yakishatoka na kuleta madhara huwa hayarudi kamwe.
Chama tawala kilichoko madarakani ndio kina wajibu wa kulinda amani na haki.

Unaona maneno makali ya Sefu lakini huoni uonevu na dhuluma za CCM kwa Wapinzani ambao wanafanya siasa kwa mjibu wa Katiba na Sheria za nchi.
 
Yani likianzishwa maamae nitakuwa mstari wa mbele. Nitaacha historian nyuma kama shujaa aliyelikomboa taifa kutoka kwa mkoloni mweusi vizazi na vizazi vitani kumbuka. Hata nisipokufa leo bado tu sitaishi Milele. Silaha yangu itakuwa sauti mkono na miguu yangu. Bora kufa ukisimama kuliko kupiga magoti.

Tunachosubiria tu ni Green light.

TUMECHOKA
IMG_20200830_151220.jpg
 
Naamini kuna kauli mbadala hasa unapotaka kuwasilisha ujumbe wowote ule.
Kauli kama hizi hazifai hasa kwa mtu anayetafuta wadhifa mkubwa wa kuongoza watu.
Zaidi ya hayo umri wake kama Mzee ugemfanya kuyapima maneno yake kabla hajayafyatua. Maana yakishatoka na kuleta madhara huwa hayarudi kamwe.
Hekima kwa mpumbavu haina maana. Hekima kwa dikteta haifanyi kazi. Hekima kwa mbabe haibadilishi chochote. Kinachoweza kufanya kazi ni nguvu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom