Maalim Seif tumekuonya hukusikia, Sasa presha na Madonda ya tumbo hayo kwa kasi

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,843
3,128
Tumeshauri, tumetoa Maoni yetu juu ya wewe kumaliza mzozo wako na Professor Lipumba, hukutaka kutuelewa

Tulishauri njia bora kabisa za namna ya kumaliza mzozo wenu.
Tuliwaambia bila kificho kwamba wewe na Lipumba nyote Kuna sehemu mmejikwaa,
Mjaribu kurudisha nafsi zenu, ikizingatiwa mmeshika mafundisho ya dini barabara, inahimiza kuvumiliana na kusameheana, lakini hamkutuelewa kabisa.
Mliweka nta maskioni.

Ona sasa ulivyokubali kuwa mateka wa Chadema, ukidai Lipumba ni msaliti.

Mmefarakana baada ya Lowassa kujiunga ukawa dakika za mwisho, ikapelekea hata Dr Slaa kujiondoa pia.

Sasa ulichokitafuta kwa kulaghaiwa na Chadema, ukisahau mlipotoka na Lipumba unakipata.

Itashangaza kama propaganda unazolishwa na pro Chadema kuachana na CUF, na kujiunga Chadema kwa lengo eti la kumkomesha Lipumba.

Humkomeshi Lipumba, bali unatumika kuijenga Chadema Visiwani bila kujielewa,na kuifuta Cuf. pole Sana mjomba.

Neno ningelijua huja baadae Sana, Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilijua umesema haya kutokana na uamuzi wa Mahakama leo. Uamuzi wa Jaji kuhusu Bodi ya wadhaminu CUF ni vipi mkuu. Nadhani kwa leo hilo ndio muhimu.

Vv
 
Tumeshauri, tumetoa Maoni yetu juu ya wewe kumaliza mzozo wako na Professor Lipumba, hukutaka kutuelewa

Tulishauri njia bora kabisa za namna ya kumaliza mzozo wenu.
Tuliwaambia bila kificho kwamba wewe na Lipumba nyote Kuna sehemu mmejikwaa,
Mjaribu kurudisha nafsi zenu, ikizingatiwa mmeshika mafundisho ya dini barabara, inahimiza kuvumiliana na kusameheana, lakini hamkutuelewa kabisa.
Mliweka nta maskioni.

Ona sasa ulivyokubali kuwa mateka wa Chadema, ukidai Lipumba ni msaliti.

Mmefarakana baada ya Lowassa kujiunga ukawa dakika za mwisho, ikapelekea hata Dr Slaa kujiondoa pia.

Sasa ulichokitafuta kwa kulaghaiwa na Chadema, ukisahau mlipotoka na Lipumba unakipata.

Itashangaza kama propaganda unazolishwa na pro Chadema kuachana na CUF, na kujiunga Chadema kwa lengo eti la kumkomesha Lipumba.

Humkomeshi Lipumba, bali unatumika kuijenga Chadema Visiwani bila kujielewa,na kuifuta Cuf. pole Sana mjomba.

Neno ningelijua huja baadae Sana, Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani chadema siyo watanzania?. je ni kosa kuunga mkono chadema? kama wana Sera nzuri?mnafurahia dhuluma dhidi ya Maalim lakini mjue IPO Sikh haya mnayoyafanya mtajutia tu.
 
Nafufua huu uzi mfu bila kuisema chadema kosa kubwa ulilofanya ni kuihusisha chadema na lowassa ndio maana umesusiwa!
 
kosa la maalim seif ni kumfuga lipumba. lipumba hafukuziki wala kugusika. maalim anapaswa kuhama chama ama aanzishe kingine. vinginevyo amnyenyekee lipumba....
 
Back
Top Bottom