Maalim seif - Shein sio Rais halali wa zanzibar

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,387
2,000
Rais halali wa zanzibar alie chaguliwa na wananchi Oct 2015 maalim seif sharif hamad, amesema huko mtendeni alipo fungua tawi jipya la Act wazalendo, kwamba kuna kila hujma zimepangwa na serikali ili wamkamate na wamueke ndani hadi muda wa kuchukua form za urais umalize.

Hayo aliyasema mbele ya wanNchi wa zanzibar, kwamba ccm hawana amani kabisa na serikali yake, eti maalim ni mchochezi, kwa msimamo wake wa muungano. Maalim alisema, hata wampeleke court wanajua at ashinda, wa nasubiri muda ufike wanikamate ili niwe ndani, muda ukifika nisigombee, haha yaguju, kwa mujibu wa sheria, ukiwa ndani bado unaweza kugombea urais, mpaka mahakama ithibitishe kosa Lake, hivyo anaweza kujaza form na kugombea urais bila hata campaign, a naamini at ashinda kwa kishindo.

Wananchi wa zanzibar wa nataka zanzibar yenye mamlaka kamili, hakuna chama hicho kama act wa zalendo Ndio kitaka cho leta mabadiko.

CCM zanzibar failed, Airport terminal ni miaka kumi haijamaliza, shein alisema atajenga bandari ya Mpiga duri, iko Wapi?
Sasa ccm zanzibar inauza mchanga, Yaani serikali haina vyanzo vya mapato, ina fanya maisha yawe magumu kwa wananchi.

Mnauza mchanga wa kujengea?

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom