Maalim Seif Sharrif bado Ngangari

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
<table width="100%" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td align="left"><table width="100%" bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23"><tbody><tr><td width="606">
</td> <td width="139" align="right">
</td> <td width="12" align="right">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" valign="top" align="left" bgcolor="#ffffff">
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->

<!--colorstart:#000066--><!--/colorstart-->Majira ya mchana LEO, uvumi ulienea katika jiji la Dar es salaam kama moto wa petroli eti maalim Seif kafariki dunia!!! kama inavyojulikana Dar kwa umbea, hali hiyo ilisababisha watu kuanza kupigiana simu na kutumiana meseji kueneza kifo hicho cha uzushi. Kiukweli Maalim yu ngali mzima ingawa kweli alikimbizwa hospitali jana baada ya kupandwa presha na kisukari. Kamera yetu ilitia timu Hindu Mandal hospital ambako amelazwa na kuongea nae na kusema kuwa uvumi huo ameusikia lakini anamshukuru Mungu hali yake inaendelea vizuri kama anavyoonekana akiwa katika kitanda chake na huenda akaruhusiwa kurejea nyumbani baadae leo!<!--colorend--><!--/colorend-->

</td></tr></tbody></table>
 
Ahsante Mfunyukuzi,
Mungu ampe Maalimu Seif afya njema haraka iwezekanavyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom