Maalim Seif Shariff Hamad alivyomsaliti Alhajj Aboud Jumbe

Hivi maalim seif alijiskiaje alipomsaliti Mzee Jumbe ? Natamani sana kujua utetezi wake ni nini.

Mimi I've never trusted Maalim kwa sababu sidhani kama ana self interest za Zanzibar at heart.

Kwanini Maalim umsaliti Jumbe ambaye alikuwa anataka kufanya jambo lenye maslahi ya taifa la Zanzibar?

Tusisahau kuwa wakati Marehemu Mzee Aboud Jumbe akiwa hai, Maalim Seif Sharrif alishauriwa kwenda kumuomba radhi juu ya kadhia hiyo na Seif hakufanya hivyo. Hadi Mzee Aboud Jumbe anafariki dunia.

Ni dhahiri mikosi, balaa, nuksi, shutuma dhidi yake, na dhambi kubwa vitaendelea kumuandama MaalimSeif na hadi anajuta kwa imani yake kutokana na kosa alilo mtendea Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.......mshahara wa dhambi........

Shukran sana Arbab Zinj kwa kuweka sawia beti ya mwisho hilo
Dah alifanya usaliti gani?
 
Kinachonisumbua kichwa ni ilikuwaje Jumbe awe mstari wa mbele kuunganisha vyama vya ASP na TANU kiwe chama kimoja cha CCM na mwaka huo huo 1977 ndipo katiba hii tulionayo sasa iliandikwa kwa marekebisho makubwa na jumbe alihusika sana kwa nafasi ya umakamo na Urais wa zanzibar iweje miaka kadhaa baadaye aje na wazo la serikali tatu huku alihusika kuunganisha vyama vilivyokuwa ni vyama dola kuwa chama kimoja ...? huku sera ya CCM ni serikali mbili kuendea moja sera iliyorithiwa kutoka TANU....kichwa kinaumia hapo ...maswali mengi....majibu tatanishi...
 
Hivi maalim seif alijiskiaje alipomsaliti Mzee Jumbe ? Natamani sana kujua utetezi wake ni nini.

Mimi I've never trusted Maalim kwa sababu sidhani kama ana self interest za Zanzibar at heart.

Kwanini Maalim umsaliti Jumbe ambaye alikuwa anataka kufanya jambo lenye maslahi ya taifa la Zanzibar?

Tusisahau kuwa wakati Marehemu Mzee Aboud Jumbe akiwa hai, Maalim Seif Sharrif alishauriwa kwenda kumuomba radhi juu ya kadhia hiyo na Seif hakufanya hivyo. Hadi Mzee Aboud Jumbe anafariki dunia.

Ni dhahiri mikosi, balaa, nuksi, shutuma dhidi yake, na dhambi kubwa vitaendelea kumuandama MaalimSeif na hadi anajuta kwa imani yake kutokana na kosa alilo mtendea Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.......mshahara wa dhambi........

Shukran sana Arbab Zinj kwa kuweka sawia beti ya mwisho hilo
Una ushahidi au unaongea kwa Mihemko ?
 
Jumbe alitengeneza waraka ambao ulikuwa unakubaliana na serikali tatu
Sefu akiwa kama waziri kiongozi wa Zanzibar,na kipenzi cha Nyerere,akamuwahi Jumbe kwa Nyerere na kummaljza kabisa katika kamati kuu
Matokeo yake Jumbe akapokwa nyadhifa zake zote akabaki kuwa mtu wa kawaida,kumbe Sefu alikuwa anakitamani kiti,ccm hawakumteua yeye,akateuliwa Idris Abdul wakil Numbe,Sefu akaweka kinyongo
Mwishowe,Sefu,Hamad Rashidi,Ali Haji Pandu,Mloo na wenye uchu wengine wakafukuzwa Ccm wakaunda KAMAHURU,wakaungana na Mapalala na Chifu Mageni,wakaamzisha Cuf
Sefu kwa ubinafsi ule ule akamtupa nje ya cuf Mapalala na Hamad Rashid
Sefu ataishia kunawa tu,au awe Rais wa Yanga
Ndio hapo mnaposhindwa kuja na uthibitisho. wakati huo Seif Shariff hakuwepo serikalini, uwaziri kiongozi amechaguliwa wakati wa mwinyi.
hebu njooni na ukweli sio story za kutunga
 
Hizi propaganda sio wewe wa kwanza kuzileta, tangu miaka ya 90 zilikuwa zikija hizi propaganda na wapumbavu wenzenu ili kufanya watu wajinga. Kama kweli amesalitiwa na Seif Shariff mbona hatujaona Mzee jumbe kueleza katika kitabu chake? kama kweli aliemsaliti ni Seif Shariff kwanini baadhi ya watoto wake na wajukuu zake Mzee jumbe ni wafuasi wa CUF na wanamuunga mkono Seif. ndio tunawajua baadhi yao na vile vile tunamjua mtoto wake moja na wajukuu zake wawili wanajipendekeza sana CCM ila hawathaminiwi.
kwahiyo musitufanye wajinga na propaganda zenu mbovu hizo, tafuteni nyengine mutuletee
 
Hamsemi kwamba mlimnyima uhuru wake kwa zaidi ya miaka 30 ..mlimuweka ndani kigamboni...Ila mnataka kugeuza ubaya wenu ati seif kafanya nini sijui upuuzi gani..alaa...
Semeni basi Tulimweka kifungo cha ndani....
 
Acha urongo wewe!
Jumbe alitengeneza waraka ambao ulikuwa unakubaliana na serikali tatu
Sefu akiwa kama waziri kiongozi wa Zanzibar,na kipenzi cha Nyerere,akamuwahi Jumbe kwa Nyerere na kummaljza kabisa katika kamati kuu
Matokeo yake Jumbe akapokwa nyadhifa zake zote akabaki kuwa mtu wa kawaida,kumbe Sefu alikuwa anakitamani kiti,ccm hawakumteua yeye,akateuliwa Idris Abdul wakil Numbe,Sefu akaweka kinyongo
Mwishowe,Sefu,Hamad Rashidi,Ali Haji Pandu,Mloo na wenye uchu wengine wakafukuzwa Ccm wakaunda KAMAHURU,wakaungana na Mapalala na Chifu Mageni,wakaamzisha Cuf
Sefu kwa ubinafsi ule ule akamtupa nje ya cuf Mapalala na Hamad Rashid
Sefu ataishia kunawa tu,au awe Rais wa Yanga
 
Hivi bado form six kumbe wapo nyumbani na vyuo vimefungwa????????ndo maana#uzi mzuri lakini umekaa kimihemko zaidi haujielezi wazi mpambanuo mbovu#
 
KWANI HUYO JUMBE ALIKUA ALIMWAMBIA NANI KAMA ANATAKA KUFANYA ALOKUSUDIA ?
MSOJUA MNARUKIA HADITHI ZA MITAANI TU BILA YA KUJUA NINI KITOKEA .
UKWELI WA MAMBO JUMBE ALISHAPOTEZA UUNGWAJI MKONO ZNZ. WANANCHI WALISHAMCHOKA KWA KUONEKANA KWAKE KIBARAKA NA KUAMUA KUHAMISHA OFISI YAKE DAR. JUMBE ALIKUA MBADHIRIFU ALIJINUNULIA NDEGE YAKE MWENYEWE . NCHI MASIKINI KAMA ZNZ RAIS AKANUNUA NDEGE NA HUKU WANANCHI HAWANA CHAKULA WALA MADAWA.
ZNZ ILIPOFIKA 80-84 NI NJAA TUPU HAKUNA KAZI NA RAIS AMEHAMIA BONGO...WANANCHI WALIMCHOKA NA AKAANNZA KUANIKWA NA KUPINGWA DHAHIRI. KILA PEMBE YA ZNZ ALICHORWA MAPAKA MATUSI NA ALISHINDWA KUDHIBITI KWANI HATA WAPINDUZI WENZAKE WALIMCHOKA .
ALISHINDWA KUWAKAMATA WATU HOVYO KWANI ALIKATALIWA NA NYERERE NA NDIPO AKAONA NJIA ILOBAKIA NI KUTAKA SERIKALI 3 ILI APATE MWANYA WA KUWAKAMATA WAPINZANI WAKE. ALIANZA VUGU VUGU HILO PEKE YAKE NA WAZIRI KIONGOZI. HAKUNA KIONGOZI WALA MZANZIBARI ALIEMSHIRIKISHA.
HAKUA NA NIA NZURI ALIKUA NA NIA OVU...ALISHASHINDWA KUINGOZA ZANZIBAR...NA HUKU BARA ALIJIINGIZA ZAIDI NA KUANZISHA BARAZA WA MISIKITI TANZANIA ILI KUPATA SAPOTI YA WASILAM WA BARA.

SEIF HAHUSIKI NA MIPANGO YA JUMBE. SEIF ALIKUA MMOJA KATI YA WALOKUA WANATAKA KUSHUGHULIKIWA NA JUMBE MPANGO UKIFANIKIWA...KAMA JUMBE ANGEFANIKIWA SEIF NA VIJANA WENGI LEO WASINGEKUWAPO.

HIVYO JUMBE WAZANZIBARI HAWAKUMTAKA TENA BAADA YA KUONEKANA YUPO ZAID BARA KWAO KWA KUZALIWA NA UMIMI UKIWA UMEMJAA, KINA HASSAN MOYO HAWAKUJUA RAIS WAO ANATAKA KUFANYA NINI....
KWA WASIO JUA WANAFIKIRI JUMBE ALIKUA KIPENZI CHA WAZANZIBARI...UKWELI JUMBE ALICHUKIZA SANA KATIKA MIAKA YAKE YA MWISHO KULIKO RAIS YOYOTE YULE...
YAPO MAZURI ALOFANYA LAKINI KWA HILI ALIJICHIMBIA KABURI MWENYEWE..
MUNGU AMLAZA MAHALI PEMA AMIN
Umeeleza vizuri lakini kuhusu ndege Jumbe ameigwa na Mkapa hapo usimlaumu
 
Baada Jumbe alikuja Sheikh Idris Abdul wakil Numbe

Baada ya Jumbe kung'olewa January 1984 Urais wa Zanzibar ulikwenda kwa Ally Hassan Mwinyi baada ya kupendekezwa na aliekuwa Katibu Mkuu wa ASP Hayati Sheikh Thabit Kombo na Mzee Mwinyi alihudumu nafasi hiyo mpaka November 1985 baada ya kuteuliwa na hatimae kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri kutokana na uwezo na umahiri wake wa hali ya juu kutuliza joto la kisiasa Zanzibar ndani ya Muda mfupi.

Sheikh Idrissa Abdul wakil alihudumu nafasi ya Urais wa Zanzibar kuanzia 1985-1990, sasa huo Mwaka Mmoja kuanzia January 1884-November 1985 Rais wa Zanzibar alikuwa nani?
 
Ndio hapo mnaposhindwa kuja na uthibitisho. wakati huo Seif Shariff hakuwepo serikalini, uwaziri kiongozi amechaguliwa wakati wa mwinyi.
hebu njooni na ukweli sio story za kutunga
Unasema Seif sharif ahmad hakuwepo serikalini wakati mzee jumbe anavuliwa nyadhifa ,haya ebu twambie alikuwa wapi!?
 
hii nchi inamambo mengi huku wanasema alikuwa bora wengine wanasema alikuwa kajanja .sasa jamaani nani mkweli mnatupasuwa kichwa jamaan
 
Back
Top Bottom