Maalim seif:serikali ya shirikisho inakuja pia bara

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
NIMEMUONA MAALIM NDANI YA BENZ 2 NA V8 ULINZI MKALI ALIPOTEMBELEA OFISI ZA CUF UNGUJA.AMEAHIDI KULETA PIA SERIKALI YA SHIRIKISHO BARA KAMA ILIVYO ZENJ SASA!source ITV
 
Nimemuona akishuka toka kwa Benzi a german mashine.
JK yuko kimya kitambo u never know anawezxa kuja na yo idea
 
NIMEMUONA MAALIM NDANI YA BENZ 2 NA V8 ULINZI MKALI ALIPOTEMBELEA OFISI ZA CUF UNGUJA.AMEAHIDI KULETA PIA SERIKALI YA SHIRIKISHO BARA KAMA ILIVYO ZENJ SASA!source ITV

Hivi anajifunza nini kuhusiana a kasheshe la mseto huko Kenya?
 
Nimemuona akishuka toka kwa Benzi a german mashine.
JK yuko kimya kitambo u never know anawezxa kuja na yo idea

Mkuu hapa umesema kweli. Maana CCM wanajua kuwa sooner or later they will be forced out of power whether wamechakachua au hapana na the idea of a winner takes it all will slowly work against them. The only assurance to have their hands in the Nation's honey calabash is adopt the system which will make them be part of the government. Zanzibar is a lab for this and it seems working pretty fine so will be for the URT.

They will be willing to abandon the running mate post or make him be for 2nd VP after the Second rival candidate becomes the 1st PM. This is a good model for them
 
KUIBA KURA 2015 itakua ngumu hivyo vurugu lazima itatokea na suluhisho kwa nchi zetu za kiafrika ni shirikisho kulainisha mambo!
 
Hivi anajifunza nini kuhusiana a kasheshe la mseto huko Kenya?

Very simple mkuu. Cha kujifunza hapa ni kwamba none will be dominant, kila kitu kabla hakijawa Public ni lazima wakubaliane kwa ufasaha baada ya kujadili. Ule wakati wa kamati kuu ya chama kudictate unaisha unaigia wakati wa maridhiano. Yaani nchi kwanza parties lag
 
2015 kukifanyika wizi wa kijinga kama waliojaribu kuufanya safari hii nawambia damu zitadaiwa mikononi mwa Kikwete hata kama atakuwa nje ya system. Safari hii tumejifanya wajinga lakini hatuwezi kuwa wajinga always. Noooooo hatuwezi.
 
Nimemuona akishuka toka kwa Benzi a german mashine.
JK yuko kimya kitambo u never know anawezxa kuja na yo idea
Hakuna Mseto huku Tanganyika kwa kuwa CUF ina wabunge wawili tu na Lipumba alikamata utatu katika uchaguzi. Chama dume Chadema hakiwezi kukubali kuolewa na ccm kama ilivyoukubali cuf. Safari ya chama cha cuf kuelekea kuzimu ndo inazidi kunoga hivyo, kisa ubinafsi wa maalim Seif afaidi peke yake huku wengine wakiendelea kutaabika na bora maisha.
 
mmmh,i think you people are dreaming,ngoja tusubiri tuone itatokea nini na itabidi watuambie kwa nini wamefanya hivo mnavo ongea ninyi hadi tuelewe maana this kind of democracy mmmmh
 
Back
Top Bottom