NIMEMUONA MAALIM NDANI YA BENZ 2 NA V8 ULINZI MKALI ALIPOTEMBELEA OFISI ZA CUF UNGUJA.AMEAHIDI KULETA PIA SERIKALI YA SHIRIKISHO BARA KAMA ILIVYO ZENJ SASA!source ITV
Nimemuona akishuka toka kwa Benzi a german mashine.
JK yuko kimya kitambo u never know anawezxa kuja na yo idea
Hivi anajifunza nini kuhusiana a kasheshe la mseto huko Kenya?
Hakuna Mseto huku Tanganyika kwa kuwa CUF ina wabunge wawili tu na Lipumba alikamata utatu katika uchaguzi. Chama dume Chadema hakiwezi kukubali kuolewa na ccm kama ilivyoukubali cuf. Safari ya chama cha cuf kuelekea kuzimu ndo inazidi kunoga hivyo, kisa ubinafsi wa maalim Seif afaidi peke yake huku wengine wakiendelea kutaabika na bora maisha.Nimemuona akishuka toka kwa Benzi a german mashine.
JK yuko kimya kitambo u never know anawezxa kuja na yo idea