Maalim Seif: Prof. Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine, CUF hana nafasi labda uanachama tu!

Status
Not open for further replies.

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
babu-png.356588

BREAKING NEWS: Maalim Seif amtaka Prof Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine CUF hana nafasi ya uongozi labda abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu ndani ya CUF.

Maalim Seif amesema hayo wakati akimjibu mwaandishi wa habari wa kitanzania aliyeko Marekani alietaka kujua msimamo wake kuhusu kurejea kwa Prof Lipumba CUF, Maalim Seif anaendelea na ziara yake nchini marekani akiwa na Ismail Jussa taarifa hizi kwa hisani ya Jussa toka USA.

======

Updates;

======

Habari hii imekanushwa, Si kweli, soma ufafanuzi=> Chama cha CUF chakanusha kuhusu Prof Lipumba kuambiwa asahau Uenyekiti
 
Breaking news:Maalim Seif amtaka prof Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine Cuf hana nafasi ya uongozi labda abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu ndani ya Cuf,maalim Seif amesema hayo wakati akimjibu mwaandishi wa bahari wa kitanzania alieko Marekani alietaka kujua msimamo wake kuhusu kurejea kwa prof Lipumba cuf,Maalim seif anaendelea na ziara yake nchini marekani akiwa na Ismail Jussa taarifa hizi kwa hisani ya Jussa toka USA
Maalim in his true colours -when he does not need you he dumps you[Prof IL -Have you forgotten as to what happened to Mzee Mapalala?????
Maalim hana interest na muungano yeye ni zanzibar tuu. Alikubali Prof aingie ili chama chake kipate foothold bara na aweze kutumia foothold hiyo kuendelea na ndoto yake ya znz.
 
Ukweli ni kuwa Prof Lipumba hakuwatendea haki viongozi wenzake wa CUF na UKAWA wakati ule na inashangaza anataka kurudi tena.

Ni heri angechagua kutakuwa active katika siasa za uchaguzi uliopita kuliko kutangazia umma kuwa amejiuzulu uenyekiti wa CUF. Prof aliwasaliti wenzake wakati ule kwa faida ya CCM.

Vv
 
Breaking news:Maalim Seif amtaka prof Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine Cuf hana nafasi ya uongozi labda abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu ndani ya Cuf,maalim Seif amesema hayo wakati akimjibu mwaandishi wa bahari wa kitanzania alieko Marekani alietaka kujua msimamo wake kuhusu kurejea kwa prof Lipumba cuf,Maalim seif anaendelea na ziara yake nchini marekani akiwa na Ismail Jussa taarifa hizi kwa hisani ya Jussa toka USA
Unatudhibitishia vip kuhusu hiyo kauli ya maalimu seif
 
Lipumba ni kichwa sana Maalim ameiua CUF sasa inaendeshwa na CHADEMA. Upinzani tunamuitaji mno Lipumba UKAWA imepoteza dira imenunuliwa.
 
Maalim in his true colours -when he does not need you he dumps you[Prof IL -Have you forgotten as to what happened to Mzee Mapalala?????
Maalim hana interest na muungano yeye ni zanzibar tuu. Alikubali Prof aingie ili chama chake kipate foothold bara na aweze kutumia foothold hiyo kuendelea na ndoto yake ya znz.
Lakini Prof. si aliondoka mwenyewe!? Hii sio historia jamani maana kila mmoja wetu ameshuhudia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom