Maalim Seif ni kuliko Mwl Nyerere na Mandela

mattargsm

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
391
150
Licha ya kuwa amechukuwa kwanza nyazifaa mbali mbali za serikali mwanzo kuliko Mwl Nyerere na Mandela Maalim seif yuko mbele zaidi kisiasa kiutaratibu na muono wambaali zaidi.

Kwa sababu Mandela kafungwa zaidi miaka 25 lakini alipo achiwa tu uchaguzi wa kwanza akapewa nchi aingoze kwa hiyo machungu yakapungua na Mwl Nyerere akagombana na wajerumanii na wazee kumsaidia na si muda mrefu kuupata uhuru wa nchi kwa hiyo Maalim Seif yeye hata ashinde hapewi amebaki kuwa ni rais wa kuhubiri Amaani Amaani kwa barani Africa mukitaka msitake huyu nikiongozi wa Aina ya kwanza kwa uvumilivu wa hali ya juu
 
Maalim, kunywa maji kwanza....tulia kisha andika upya. Maana umeandika haraka kidogo mithili ya unaoga nje vile....fadhali yakhe
 
Hakika ni kweli kabisa Maalim ni Zaidi ya Mwalimu na yupo sawa Na Madiba...hakika ni Madiba wa Tanzania , mstahamilivu , mstaarabu anaejua siasa na pia sio fisadi kama mafisadi wengine.

anpenda nchi yake na ameiweka kwanza kuliko mengine....
mandela alikua na uwezo wa kuwaamrisha makaburu waondoke na kulipa kisasi ..lakini wakasameheana
Maalim nae Juu ya Kufungwa na CCM kwa Miaka 4 lakini alipotoka hakua na kinyongo still aliweza kuwashawishi ccm umuhimu wa kuwa na na serikali ya umoja katika jamii ilogawanyika.
alifanya nao kazi kwa uaminifu juu ya kwamba walimfunga jela na kuwekea kila aina ya vikwazo.
Maalim watu wanamsikiliza atakacho amua leo hii basi watu watamsikiliza 100%...angeweza kuamua watu wadai haki yao kwa nguvu za umma basi leo znz ingekua hapakaliki mpaka kieleweke..lakini hakupenda kuingia madarakani huku damu za raia zikitoka...bado anaamini njia za Amani na atafanikiwa tu.

hakima Maalim Seif anastahili Noble Peace Price2016
 
Noble Peace Prize ???! for what?!? Acheni kujidanganya. By the way ni Prize not Price!
 
Licha ya kuwa amechukuwa kwanza nyazifaa mbali mbali za serikali mwanzo kuliko Mwl Nyerere na Mandela Maalim seif yuko mbele zaidi kisiasa kiutaratibu na muono wambaali zaidi. Kwasababu Mandela kafungwa zaidi miaka 25 lakini alipo achiwa tu uchaguzi wakwanza akapewa nchi aingoze kwahio machungu yakapungua na Mwl Nyerere akagombana na wajerumanii na wazee kumsaidia na simuda mrefu kuupata uhuru wanchi kwahio Maalim Seif yeye hata ashinde hapewe amebaki kuwa ni raisi wa kuhubiri Amaani Amaani kwa barani Africa mukita musitake huyu nikiongozi wa Aina ya kwanza kwa uvumilivu wa hali ya juu
Tuna mkubali sawa ila hala hala tu usije eleza kuwa ni zaidi ya Mungu maana yaelekea mwenzetu ume mpenda zaidi.
 
...na Mwl Nyerere akagombana na wajerumanii...
Kwanza hata historia ya nchi yako huijui. Eti Mwl Nyerere akagombana na wajerumani, ha ha ha. Wajerumani waliacha kutawala Tanganyika kabla hata Mwl hajazaliwa.
 
Licha ya kuwa amechukuwa kwanza nyazifaa mbali mbali za serikali mwanzo kuliko Mwl Nyerere na Mandela Maalim seif yuko mbele zaidi kisiasa kiutaratibu na muono wambaali zaidi.

Kwa sababu Mandela kafungwa zaidi miaka 25 lakini alipo achiwa tu uchaguzi wa kwanza akapewa nchi aingoze kwa hiyo machungu yakapungua na Mwl Nyerere akagombana na wajerumanii na wazee kumsaidia na si muda mrefu kuupata uhuru wa nchi kwa hiyo Maalim Seif yeye hata ashinde hapewi amebaki kuwa ni rais wa kuhubiri Amaani Amaani kwa barani Africa mukitaka msitake huyu nikiongozi wa Aina ya kwanza kwa uvumilivu wa hali ya juu
umeandika ukweli ambao wengi hawaujui , Maalim Seif anaweza kuwa ndiye kiongozi pekee kwa sasa duniani kwa uvumilivu , maana ukiyavumilia ya Africa hakuna pengine penye kadhia katika dunia hii ya kufikia kiwango cha waafrica , hata kosovo haikuvumilia kwa kiwango cha Maalim Seif.
 
Una matatizo ya kichwa!!
 
Ni kweli Maalim yuko vizuri, ila this time, amebugi step, kususia jumla, alipaswa kuupinga rasmi uhuni ule, na sio kususa tuu huku anapiga kelele!. 2020 might be too llittle too late!.

Pasco
 
kama hata huwezi kuwatofautisha wajerumani na waingereza kujadi hii post ni kupoteza muda maana muanzishaji hata hajielewi.
 
Ni kweli Maalim yuko vizuri, ila this time, amebugi step, kususia jumla, alipaswa kuupinga rasmi uhuni ule, na sio kususa tuu huku anapiga kelele!. 2020 might be too llittle too late!.

Pasco
haitafika huko kabla ya Maalim seif kuwa rais wa zanzibar .
 
umeandika ukweli ambao wengi hawaujui , Maalim Seif anaweza kuwa ndiye kiongozi pekee kwa sasa duniani kwa uvumilivu , maana ukiyavumilia ya Africa hakuna pengine penye kadhia katika dunia hii ya kufikia kiwango cha waafrica , hata kosovo haikuvumilia kwa kiwango cha Maalim Seif.
Hakika!
 
Licha ya kuwa amechukuwa kwanza nyazifaa mbali mbali za serikali mwanzo kuliko Mwl Nyerere na Mandela Maalim seif yuko mbele zaidi kisiasa kiutaratibu na muono wambaali zaidi.

Kwa sababu Mandela kafungwa zaidi miaka 25 lakini alipo achiwa tu uchaguzi wa kwanza akapewa nchi aingoze kwa hiyo machungu yakapungua na Mwl Nyerere akagombana na wajerumanii na wazee kumsaidia na si muda mrefu kuupata uhuru wa nchi kwa hiyo Maalim Seif yeye hata ashinde hapewi amebaki kuwa ni rais wa kuhubiri Amaani Amaani kwa barani Africa mukitaka msitake huyu nikiongozi wa Aina ya kwanza kwa uvumilivu wa hali ya juu
naheshimu maoni yako ni suala la kusema Nani bora kwako, kwangu mm Nyerere atabaki kuwa mwanasiasa bora kutokea hapa Tanzania na Afrika
 
Ni kweli Maalim yuko vizuri, ila this time, amebugi step, kususia jumla, alipaswa kuupinga rasmi uhuni ule, na sio kususa tuu huku anapiga kelele!. 2020 might be too llittle too late!.

Pasco
Huo uhuni wangeliupingaje? Je kwa kwenda mahakamani? Nadhani kwa kadri mambo yalivyokuwa msimamo wao ni sahihi, Mimi naamini ni swala la muda tu, nani alitarajia kuna Siku wale majenerali wa Burma wangesalimu amri?
 
Back
Top Bottom