B Baba Matatizo JF-Expert Member May 5, 2011 334 64 Sep 5, 2011 #1 Maalim Seif ndani ya tabora...Nitazid kuwajuza nini kinaendelea.Muda si mrefu mkutano unaanza!
mzee wa mawe Senior Member Aug 2, 2011 151 15 Sep 5, 2011 #2 tuambie mkutano ulikuwa na watu? na ameongelea nini?
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Sep 5, 2011 #4 sijui ssa hapa wanapiga kampeni pamoja na SISIEM kwenye jukwaa 1?
J janja pwani Senior Member Jul 27, 2011 104 9 Sep 5, 2011 #5 si mkuki si bunduki cuf hatubanduki. habari ndio hiyo.