Maalim Seif: Mwalimu na nahodha

Mkuu Matola, kwa vile tunahimizwa sana tusichanganye dini na siasa, na kwa vile Chama cha CUF kiliwahi kunasibishwa na dini fulani, please usitumie maneno ya maudhi kwa watu wa dini nyingine, mfano wa neno " said ya kafir", sote tunaelewa ni watu wa dini gani huwaita wengine kafir na hao wanaoitwa kafir ni watu wa dini gani, hivyo ningeomba tuziepuke comments za aina hii ili hata sisi ambao tuko very comfortable na ACT, tuendelee kuiona ACT Wazalendo ni ile ile na sio CUF imebadili jina.
P
Paskali ifike wakati Watanzania tuache unafki, siasa na dini ni kama samaki na maji.

Kule Kenya ule uchaguzi wa Kibaki Vs Raila Odinga, Raila Odinga kupitia kwa Najib Balala wa Mombasa walisaini MoU na waislamu wa kenya kumuunga mkono Odinga na kwamba angetimiza madai yao.

Huyu Profesa Lipumba kwa mujibu wa Quran tukufu ana sifa zote 3 za mnafki.

Vivid evidence za video tunazo humu JF akiwahamasisha waislamu wajipange na video ya pili akiwaeleza waislamu ilibidi ambebe Jakaya Kikwete kuokowa jahazi la waislamu.

Narudia tena Lipumba amewasaliti waislamu ameshasahau waislamu waliouwawa na kupata ulemavu kupitia mkono wa chuma ukianzia na mwembe Yanga na January 27.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alieshinda Ni Zitto. Chadema Hawana Namna Nyingine Zaidi Ya Kumpigia Magoti Zitto Ajiunge Na Ukawa
Ha ha bashite baba Chupa walionufaika na ukawa bara walikuwa cuf waliovuna Idadi ya wabunge ambao hawakuwahi kuwa una maazmio ya zanzibar
 
Kweli wewe ni mcha Mungu, licha ya uswahiba wako na Profesa Lipumba lakini umeamuwa kusimama kwenye kweli.

Cuf imekufa rasmi leo na hata misikitini huyu Lipumba anapaswa kutengwa indirect ni msaliti wa waislamu pia, huyu ni zaidi ya kafir.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kutoa Hukmu ya kisiasa mpaka ndani ya Dini

Ukafiri wa Lipumba upo ndani ya chama lkn si Katika Dini

Kuwa makini na baadhi ya maneno yako Chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itikadi ya CUF=Maalim Seif!

Tunachokiona ni siasa za sura ya mtu badala ya imani inayojengeka katika itikadi.

Hili ni tatizo kubwa nchini ambalo baadhi ya watu/wachambuzi wa siasa wanajaribu kuliepuka ama kwa vile ni wanafiki au hawajui ukubwa wa tatizo.

Kwa hiyo Maalim Seif akiaga dunia hata wafuasi tunaowaona wanamfuata pia wataaga dunia ndani ya chama?

Ndio yaleyale ya Lowassa na kundi la Ulipo Tupo!

Hizi ni siasa za kufuata kivuli cha mtu badala ya kivuli cha nguzo za itikadi.

Huu ni umasikini wa fikra za siasa za masuala yanayobebwa na itikadi.

Yaani Maalim Seif akiondoka duniani basi tunaanza tena upya kutafuta Maalim Seif mwingine!
 
Unaweza kutuambia itikadi ya CCM.
 
Hayo maswali ungewauliza kwanza wale wanaotangaza kuhamia ccm ili kuunga mkono juhudi za Magufuli, je ikitokea Magufuli akafa watakufa nae.?

Kwa nini wanamfuata mtu badala ya itikadi na Sera za CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho chama cha kijani kitahangaika sana kudhoofisha vyama vya upinzani na kumalizia rasilimaliwatu ,pesa muda ,bila sababu za msingi na hazitafanikiwa vipi wangejikita kwenye kuwaletea maendeleo wananchi wanakalia upuuzi.
 
Back
Top Bottom