Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,444
- 7,801
Marehemu Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba. Marehemu ni miongoni mwa waasisi wa harakati za mageuzi na kuwaunganisha wazanzibari, kupigania haki na demokrasia ya vyama vingi.
Maalim Seif Azzan amewahi kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka jimbo la Pandani, wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Bunge la kwanza la vyama vingi mwaka 1995-2000.
Mpaka mauti yanamkuta Marehemu alikuwa Afisa utwala wa chama cha ACT-Wazalendo kanda ya Pemba.