Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

Zanzibar ndiko kuna wanaume washoka. Bara wangekuwa na msimamo hata uvamizi wa vituo vya ukawa ungepingwa vikali. Pia kura za ubunge nyingi walishinda upinzani zikachezewa na wapiga kura kimya. Iko siku udikteta utaisha tu.
 
Maalim kwa nn aogope kurudia Uchaguzi wakati wapiga kura ni wale wale kama walimpigia kura si watampigia tena? Maalim ni mvunja Muungano kwa Maslahi mapana ya Taifa letu tushirikieni kuilinda Znz kuangukia kwny Mikono ya Adui

Waachieni WaZanzibar chaguo lao na muungano wenu wa kikoloni
 
Waachieni WaZanzibar chaguo lao na muungano wenu wa kikoloni

Tuliwaachia kila kitu wao wanakuja kulia lia huku na hata presa conference zao hawafanyii mtenden znz kila siku wako buguruni. Kwan Jecha aliefuta Uchaguzi ni mfipa ai mzanzibar mwenzao? Sie tunawasaidia ulinzi tu wasiuane kama vile Nato walivyopeleka vikosi Timor Mashariki, Jecha mfuta Matokeo, Maalim aliejitangaza Mshindi wote ni wa zanzibar
 
Hivi kura za magufuli ni za bara tu kule si mlifuta manake mkiongelea muungano mnavutia kwenu tu...
 
Hivi kura za magufuli ni za bara tu kule si mlifuta manake mkiongelea muungano mnavutia kwenu tu...

Maalim Seif alivuruga na kuiba kura za Rais wa znz tu kwan alijua hata akiiba kura zote za znz laki tano akampa Lowassa bado asingeWeza kushinda.Mkibisha sana basi tutasema Kura zote za ZnZ tumpe Lowassa bado litabaki gep la kura Million moja na ushee!!
 
"Asiejipenda afanye fujo, Mie ndie Amiri jeshi Mkuu hakuna Mnywa kiroba wala mfadhili wa kiroba atakaemtisha wala kumbughudhi Mpiga kura yoyote nakuhakikishieni Uchaguzi utakuwa wa Salama salmeen"-Mzee Jakaya tarehe 23-24 October, 2015 Dsm na Mwanza.

Hata hivyo shujaa maalim seif kajitangaza rais na hakufanywa chochote !
 
Maalim Seif alijiandaa vizuri si kama UKAWA wameshindwa hata kulipa mawakala posho,wanadai wameshinda ukiwaambia walete matokeo waliyokusanya wanakimbia kimbia kama ndama hawakujipanga kuanzia mgombea uRais,wagombea ubunge na madiwani.

Utashangaa chama kinachopata ruzuku kubwa kimeshindwa kwa miaka mitano kutenge fungu la kuwalipa mawakala posho na chakula,wameshndwa kuandaa bajeti ya kundesha kampeni za uchaguzi hadi wategemee mgombea wa kukodi kutoka CCM awaletee fedha.

...lubuva hakupelekewa malalamiko na Lowassa akaingia mitini?, yale matokeo Lowassa aliyokuwa nayo akasema ndio ya kwake halisi aliyapata kwa nani kama sio mawakala?
Wenje anadai alikua anaongoza kwa kura 4000, hizo data alizipata wapi?
Halafu kwa akili yako fupi unaamini Cdm wanaweza kuwa na fungu sawa la bajeti ya uchaguzi sawa na wale wanaolipwa bilioni ruzuku na bado wanachota escrow?!
Ni vizuri kulielewa jambo kabla ya kukurupuka kuchangia pumba humu..
#pathetic!
 
Wadau inasikitisha sana ku pretend tukafanya demokrasia wakati Chama tawala na serikali yake vikiwa vinang'ang'ania madaraka na kushindwa dhamini kura za wananchi. Huku ni kuwafanya wananchi wapumbafu na kuwafanyia maigizo ya demokrasia. Jamani kama zanzibar Cuf wameshinda wageni nchi. Hii ndio demokrasia. Msitumie ubabe kukandamiza haki. Hii inaleta hasira na matokeo yake umwagaji damu.
shein sasa unapaswa kuachia ngazi, tume hiyo ni yako iweje uchaguzi ulalamikiwe na tume wenyewe? aibu jamani mbona kila mtu anajua kuwa seif kashinda? heshimu matakwa ya wananchi.
 
Wadau inasikitisha sana ku pretend tukafanya demokrasia wakati Chama tawala na serikali yake vikiwa vinang'ang'ania madaraka na kushindwa dhamini kura za wananchi. Huku ni kuwafanya wananchi wapumbafu na kuwafanyia maigizo ya demokrasia. Jamani kama zanzibar Cuf wameshinda wageni nchi. Hii ndio demokrasia. Msitumie ubabe kukandamiza haki. Hii inaleta hasira na matokeo yake umwagaji damu.

Usiwaandame, labda wanajiandaa kisaikolojia. Unajua hawakutarajia aisee?
 
Maalim Seif alivuruga na kuiba kura za Rais wa znz tu kwan alijua hata akiiba kura zote za znz laki tano akampa Lowassa bado asingeWeza kushinda.Mkibisha sana basi tutasema Kura zote za ZnZ tumpe Lowassa bado litabaki gep la kura Million moja na ushee!!
jinga hata kura za Lwassa ziliibwa kimtandao, basi kwa vile Lwasa hapendi vurugu, wameiba kura nyingi sana za ENL na wabuge wake.
 
Walianza kuitwa magaidi, sasa wanaitwa maadui wa muungano, muongo ujao wataitwa ISIS?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom