Maalim Seif mbona kimya?

mwakweya70

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
414
106
Jana nilikuwa namsikia Kambaya wa CUF akikomaa na suala la uchaguzi wa marudio Zanzibar! AZAM TV, Maalim Seif yeye mbona kimya sana?
 
Ktk swala la Zanzibar ungependa Maalim afanyeje? Ajiapishe au ajinyonge ?!
Tz ina wapinzani waungwana sana
Mbona haueleweki? Mtoa mada ameuliza Maalim Seif mbona yupo kimya. Majibu yanaweza kuwa mengi na moja wapo ni hilo la kwenda nje kwenye matibabu! Haukusikia amepewa na serikali yake zaidi ya shilingi milioni mia tatu kwa safari hiyo?
 
Siyo kapewa bali stahili yake , siyo hisani. Kumbuka ni makamu wa Rais

Na kama swala la kuugua kumbuka sisi ni wanaadamu
 
Siyo kapewa bali stahili yake , siyo hisani. Kumbuka ni makamu wa Rais

Na kama swala la kuugua kumbuka sisi ni wanaadamu
Mbona unakuwa mgumu kuelewa? Mtoa mada anauliza mbona Seif yupo kimnya sasa hivi? Mimi minejibu kuwa huenda ameenda kwenye matibabu kwani ilisemekana hivyo. Sasa huu muendelezo wa malumbano unatokea wapi?
 
Back
Top Bottom