Maalim Seif kutua Arusha kuongeza mashambulizi - CHADEMA waweweseka

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
seif kutua arusha muda si mrefu,kuja kuongeza nguvu ya cuf katika kuwania nafasi nne za udiwani. Taarifa hizi zimewashtua sana chadema na kuanza kuweweseka juu ya ujio wa huyu mwanasiasa mkongwe na mjuvi wa siasa za upinzani hapa nchini
source:gari la matangazo
 
Wewe arusha hawana tabia za kiliberali! Aende huko huko pemba,unguja,mtwara na lindi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wamewewesekaje?embu niambie au na wewe ni wale wale?
 
seif kutua arusha muda si mrefu,kuja kuongeza nguvu ya cuf katika kuwania nafasi nne za udiwani. Taarifa hizi zimewashtua sana chadema na kuanza kuweweseka juu ya ujio wa huyu mwanasiasa mkongwe na mjuvi wa siasa za upinzani hapa nchinisource:gari la matangazo
hahaha kweli waliberal mnakazi, tumekusikia mkuu.
 
Halafu acha umbea kama huna info kaa kimya.
Huyo maalim wako yuko kwenye ishu ya katiba!
Usitudanganye kweupe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
seif kutua arusha muda si mrefu,kuja kuongeza nguvu ya cuf katika kuwania nafasi nne za udiwani. Taarifa hizi zimewashtua sana chadema na kuanza kuweweseka juu ya ujio wa huyu mwanasiasa mkongwe na mjuvi wa siasa za upinzani hapa nchini
source:gari la matangazo

mbona waliberali mnajitongozesha kwa CDM...??kwanini CCM wasiweweseke?
 
Huyu mzee si alisema hataki muungano sasa huko Arusha anaenda kufanya nini, aende zake Mwanakwerekwe
 
seif kutua arusha muda si mrefu,kuja kuongeza nguvu ya cuf katika kuwania nafasi nne za udiwani. Taarifa hizi zimewashtua sana chadema na kuanza kuweweseka juu ya ujio wa huyu mwanasiasa mkongwe na mjuvi wa siasa za upinzani hapa nchini
source:gari la matangazo

hana kazi kwenye ndoa yake huko zanzibar anatumia kodi kuja kueneza uislamu tu pumbavu sana hao watu nawachukia sana
 
Anakuja kutalii.si unajua arusha kwa vivutio ni namba moja afrika.mtatiro hajaonekana huko?ngome ya cuf ni ukanda wa pwani,si unajua tena.
 
Hata kama sio mwenyeji wa Arusha, nafahamu kuwa Maalim hana mvuto wa kuwashawishi wanachama wa CHADEMA kiasi cha kuwa tishio kwa viongozi wake. Mwache akaingize siku na labda akasaidie kuwagwa wapiga kura wa CCM
 
Amekuja kutalii.si unajua arusha kwa vivutio ni namba moja afrika.mtatiro hajaonekana huko?
 
Arusha ipi?

Na chadema ipi inayoweweseka?.... CCM yenyewe wanafanya kampeni kwa kificho ndio ije kuwa huyo kiongozi wa chama cha waliberali?.... Hahahaha mwambie arusha hatufagilii ma.....ga....... Amuulze Mwigulu atapata jibu la arusha
 
Huyu mzee si alisema hataki muungano sasa huko Arusha anaenda kufanya nini, aende zake Mwanakwerekwe

uko nchi gani? soma magazeti na fuatilia habari. maalim seif kasema anahitaji muungano wa mkataba. unao ipa znz uhuru wa kufanya mambo yake. anadai kuwa znz ina haki ya kuwa na wizara ya mambo ya nje
 
seif kutua arusha muda si mrefu,kuja kuongeza nguvu ya cuf katika kuwania nafasi nne za udiwani. Taarifa hizi zimewashtua sana chadema na kuanza kuweweseka juu ya ujio wa huyu mwanasiasa mkongwe na mjuvi wa siasa za upinzani hapa nchini
source:gari la matangazo

Gari la matangazo ndo limesema CHADEMA wanaweweseka,?
 
Back
Top Bottom