Maalim Seif kunguruma kisarawe-Pwani 20/12/2013

kigu

Senior Member
May 27, 2012
183
74
kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka kisarawe , zinasema maalim seif atafanya mkutano mkubwa kisarawe 20/12/2013, na kufanya mikutano mingi ya ndani kwa lengo la kuhakikisha ushindi ktk uchaguzi wa serekali za mitaa na udiwani unaokuja.



source. mjumbe wa cuf kutoka kisarawe.
 
Back
Top Bottom