Maalim Seif kunguruma kisarawe-Pwani 20/12/2013

kigu

Senior Member
May 27, 2012
183
195
kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka kisarawe , zinasema maalim seif atafanya mkutano mkubwa kisarawe 20/12/2013, na kufanya mikutano mingi ya ndani kwa lengo la kuhakikisha ushindi ktk uchaguzi wa serekali za mitaa na udiwani unaokuja.source. mjumbe wa cuf kutoka kisarawe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom