Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,991
- 144,326
Binafsi naona utawala huu wa Magufuli unawafanya wapinzani kuzishanda tofauti zao na moja ya matokeo ya hali hii inaweza kuwa ni wapinzani siku moja kufikia uamuzi wa kihistoria wa kuunganisha vyama vyao na kuunda chama kimoja.
Na hili linaweza kupata nguvu zaidi baada ya uchaguzi wa 2020 endapo wapinzani watachezewa foul na wakajikuta wamepoteza katika uchagui huo na hasa ikitokea vyama hivi vikubwa havipati kiti hata kimoja katika uchagui mkuu ujao sio kwa kushindwa,bali kwa kufanyiwa hujuma.
Kwa sasa sitaeleweka na wengi ila muda ndio utasema.