Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Ukiangalia vitimbi vinayo zidi Zanzibar hivi sasa nivikubwa katika uvunjaji wa haki za binadabu zidi ya vyombo ya Dola.
Kiburi hishi cha viongozi na hasira zao kuja kuwamalizia raia wa kawaida kwa sababu tu za kisiasa .
Inasikitisha sana kuona sisi raia wananchi ndio wenye kupokea machungu ya mateso na nguvu kubwa za vyombo vya Dola zidi ya raia.
Viongozii wa ccm juu yakua chama chao kimenyakua madaraka kwa mtutu na nguvu ya Jeshi na ulimwengu wote kua shahidi kwa kilicho tendeka Zanzibar.
Lakini imekua ndio tabia yao na muendelezo wao kuwatesa wananchi wasio na hatia na kuwahujumu kwa kuwatumia nguvu.
Kwa hio tunaziomba jumuia za kimataifa na hali ya kunyanganya ushindi wetuwananchi wa Zanzibar na kua kimya .
Basi hili la kuvunjwa haki za binadamu kwa vyombo vya Dola na amri ya watawala lifikie kikomo.
Jumuia za kimataifa zijuwe kuwa wananchi wa Zanzibar nao ni Binadamu kama binadamu wengine Duniani wenye haki yakuishi kwa amani bila vitisho na mateso kwa vyombo vya Dola.
Kwa hio katika ziara zake Maalim asipiganie kunyanganywa ushindi wake wa 25 oct tu ,bali hili la madaraka mabaya ayafanyayo Makufuli na Shein ndio pin point ya kuweza kuisimamia .
Shein amejisahau kua anayo yafanya anajihisi kua ulimwengu haujuwi kwa kiburi cha kuona alalo jeshi la Makufuli linamlinda ?
Lakini pindipo wananchi na utulivu tulio nao na ulimwengu kua pamoja na sisi katika kipindi hichi ,basi moto ukija kuwaka atashindwa kuzima na hatakua na pakukimbilia .