Amina bwashee!Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe
Labda huko Bara...
Ujinga kaanzisha Ndungai baada ya Jiwe kuwa Udongo.Bavicha mnajaribu kupambana na marehemu Magufuli,
Badala ya mshughulikie mambo muhimu mmekalia ujinga.
2025 tukiwagonga tena manaanza kulalama
Vipi MKAPA mbona hajawahi kuchukiwa kama MWENDAZAKE, je na yeye hakua na Madaraka?Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe.
Kwa hiyo kinyume chake ni ukweli. Ni ukweli usiopingika kuwa Maalim Seif hawezi kushambuliwa mitandaoni kwa kuwa hakupewa nafasi ya madaraka yenye maamuzi yanayoathiri wananchi....
View attachment 1751239
Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
Kwanini Maalim Seif hajawahi kusimangwa tangu amefariki ? ukipata jibu la hili utajifunza jamboBavicha mnajaribu kupambana na marehemu Magufuli,
Badala ya mshughulikie mambo muhimu mmekalia ujinga.
2025 tukiwagonga tena manaanza kulalama
Mkapa alikufa akiwa hana mamlaka na ndio maana hakusemwa saaaaana lkn Pombe alikufa akiwa mamlakan kawaida sana kusemwa,na lait km Mkapa angekufa akiwa mamlakan kulingana na siasa za kipind kile cuf ya maalim na lipumb ikiwa moto jeshi LA polisi kuna askar aliitwa Mahita ingekua balaa maana cuf ilikua NGANGARI na Mahita na polis wake walikuwa NGUNGURI miksa vikapatikana visu ikasemekana cuf walikua na mpango wa kulianzisha na ukata ulikua umetamalak kwa kiwango kikubwa na ridandas ilibamba balaa ktk mashirika ya umma Mkapa km angekata moto kipind kile mzee pombe angesubirvipi MKAPA mbona hajawahi kuchukiwa kama MWENDAZAKE,je na yy hakua na Madaraka?
Wewe umezaliwa lini? Inaonekana huelewi kabisa, MKAPA alipigwa hasa mawe. Hata mzee Ruksa, kachezea sana vitasa, Kikwete ndo usiseme alipewa jina DHAIFU.vipi MKAPA mbona hajawahi kuchukiwa kama MWENDAZAKE,je na yy hakua na Madaraka?
Daima mti wenye matunda ndio upondwa mawe.View attachment 1751239
Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
Ni kwakuwa wana CCM ni wastaarabu.View attachment 1751239
Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
Dada yagu umeandika jambo lenye nguvu na kutafakarisha sana. Hawa wa akina nchemba na Vuvuzela Lusinde sijui kama watapitia hapa wasome.View attachment 1751239
Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
Viongozi wetu wa upinzani tuliwqchagua ili wapate mateso chini ya himaya ya mfalme Jiwe. Sugu akiwa jela mama yake aliugua kwa mawazo. Huku tunachangishana kumtibu Tundu Lissu, kule Mbowe alikula Christmas gerezani. Acha tu.Dada yagu umeandika jambo lenye nguvu na kutafakarisha sana. Hawa wa akina nchemba na Vuvuzela Lusinde sijui kama watapitia hapa wasome.
Wajiulize why Jiwe ansemwa vibaya and not Maalim? Jiwe atasemwe vibaya kwa liowatendea vibaya na akina nchemba wanaofaidi ukatili wake watamsifia
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe.
Kwa hiyo kinyume chake ni ukweli. Ni ukweli usiopingika kuwa Maalim Seif hawezi kushambuliwa mitandaoni kwa kuwa hakupewa nafasi ya madaraka yenye maamuzi yanayoathiri wananchi.
Siyo kwamba hakuwa na madhaifu kweye siasa za upinzani, hapana. Mfano udhaifu mkubwa ni kung'ang'ania madaraka kwa zaidi ya miaka 20, kwamba hakuna mtu mwingine angeweza kurithi nafasi yake?
Huo ni udhaifu, na ni kuonesha kuwa ndani ya upinzani hakuna demokrasia. Pia hizi siasa za upinzani Kutegemea mtu badala ya taasisi ndo inaathiri upinzani wa tz, ndo maana alipohamia ACT - Wazalendo, CUF ilififia sana Z'bar.
NB: Mfumo ujengwe kwenye taasisi, na siyo umaarufu wa mtu!